Kweli nashindwa kuelewa ukweli ni upi kuhusu hali zetu

Nesto E Monduli

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
247
155
Nimesoma gazeti LA Tanzanite Leo, kweli nashindwa kuelewa ukweli ni upi kuhusu hali zetu. Wengine wanasema halo ni mbaya na wengine ndo kama hivyo.Au labda tuna uelewa mdogo kuhusu neno "ukuaji was uchumi"?.
[HASHTAG]#FreedomOfSpeech[/HASHTAG]
FB_IMG_1525874029600.jpg
 
Kati ya nchi zinazoongoza Kwa uchumi mbovu ni hizo hapo tajwa India,misri,uganda.kwahy gazet halijakosea kusema tz yanne ikimanisha kwamba very soon itaongoza Kwa uchumi mbovu Kwa kuzipiku nchi tajwa
 
Wewe upimwe kwanza, unasoma gazeti la Musiba? Kumbuka aliahi sema yeye anajipendekeza kwa serikali ili apewe fedha, sasa unategemea nini kutoka kwake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom