Duh!
Mzee akili yako iko fasta kwenye yale mambo.Duh!
Yaani, 'PINDA HONEY'! Inaleta maana fulani hivi ya chumbani na mwenza.
1kg or 1Litre ?
Tofauti iko wapi hapo kati ya lita 1 na kilogram 1?
Mara kadhaa nimeona kipimo cha uzito kwa asali. Lita moja ni karibia kilo moja na nusu1kg or 1Litre ?
Hahahahah...Duh!
Yaani, 'PINDA HONEY'! Inaleta maana fulani hivi ya chumbani na mwenza.
1kg or 1Litre ?
Kwenye vimiminika kipimo kizuri ni Lita.
Tofauti iko wapi hapo kati ya lita 1 na kilogram 1?