Elections 2010 Kweli Morogoro wamelala....

PapoKwaPapo

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
380
45
Inaniuma sana kubandika hii habari...
kwenye jimbo la kilosa CCM wameshinda viti 11 vya udiwana, 3 wapepita bila kupingwa na kimoja kachukua mtu wa CUF....
Kwenye ubunge CCM wamepata kura nyingi sana......siwezi hat kusema
 
Hawana maana hao. Wtaona hata aibu mwaka huu. Wao naona hawako dunia hii.
 
Halafu wasituletee za kuuana tena mwaka huu. Wajinga ndio waliwao ofcourse
 
Tunawasubiri 2015 hakuna tatizo. tunawapenda bado maana hata karatu na tarime walitangulia.
 
Kwa kipindi cha miaka 50 CCM wamewaahidi kuwaletea bahari watu wa Morogoro ili mkoa uwe na hadhi sawa na Dar.Dr Slaa amewaahid Elimu Bure hadi kidato cha Sita kwa vijana wao, lakini wapi bwana waMoro wameng'ang'ania ahadi ya Bahari Mweee jamani!
 
ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Morogoro ni mkoa wa "uswahili swahili". Wala sishangani kabisa kwani waswahili kimbilio lao ni "chama twawala". waacheni waendelee na mikakati ilele, style ileile, approach ileile, sura zilezile na mambo yaleyale.
 
No need to save the world when there is no human being left...
 
Morogoro ni mkoa wa "uswahili swahili". Wala sishangani kabisa kwani waswahili kimbilio lao ni "chama twawala". waacheni waendelee na mikakati ilele, style ileile, approach ileile, sura zilezile na mambo yaleyale.

Cha ajabu ni kuwa mpaka SUA hawajaonyesha wanapenda mabadiliko, hovyo!
 
watajifunza tu waache wakiona majimbo yalochukuliwa na upinzani yatakavyokuwa na maendeleo wataamka ila wameniboa sana
 
Cha ajabu ni kuwa mpaka SUA hawajaonyesha wanapenda mabadiliko, hovyo!

SUA hopeless sana, they are cawadz, the only shujaa there was my beloved prof mlambiti. alipata misukosuko sana lakini alisimama imara na kutetea haki yake kikatiba. natumai atashinda jimboni kwake malinyi.
 
Kwa kawaida Wamoro ni watu wa kubweteka na wavivu kufikiri. They are not daring people na ndo maana hata maendeleo kwao ni shida.
Well, kwa kuwa ni wenzetu...watatukuta mbele ya safari 2015. Hatuwezi kusubiri watu walolala ehhh bana!!
 
Sio siri hawa jamaa wametutia sana aibu! Hivi kweli kimsingi kuna mtu mwenye akili timamu anaeweza kuipigia kura CCM kweli??? Yaani mie haniingii akilini hata kidogo..ukiulizwa unaipigia CCM kura kwa lipi utajibu nini?? Aibu tupu! Ufinyu wa mawazo ndo umewaponza..Angalia mikoa ya wajanja...tumeipiga chini CCM kama hatukuwahi kuwajua... CCM imemaliza nchi yetu, imetuacha bila matumaini, sasa hivi Mtanzania amekua ni mtu asiye kua na dira...leo eti unathubutu kupiga kura kukiweka tena chama kinachoangamiza nchi madarakani...Wake up...anyway... 2015 tutakutana upya, nadhani hiki kizazi kilicholala kitaona ukweli na kujua ni nini tulikua tunasema.
 
Nyie achen akili za watu wa moro mnazijua lakini? Kuliko amka ni safuu hii ya Kihonda ambako wakazi wengi sio wazawa wa mkoa huo. Ila kungine huko ni nyaaaaa tupuuuuu. hovyo hovyo wakipea shi mia tano tuu basi wanaanza kuabudu waliyowapa.
 
Tatizo umasikini hajui umuhimu wa elimu na hajui tatizo la umasikini walionao umetoka wapi,
 
MUSOMA MJINI: Matokeo ya kwanza kutoka NEC yaliyothibitishwa: Nyerere afufuka, jumla ya kura zilizopigwa 79,527, matokeo ya Chadema kura halali 36,240 Vicent Nyerere kiboko 21,355,57% Vedatus Ccm 14,022, mustapha 253 cuf, Dp ya Mtikila Ndege Nyakisesa ,kura 53 ,tabu said nccr Mageuzi kura 16 sawa na 0.05% Nataniel Mshana ambaye ni msimamizi wa Uchaguzi amemtangaza mtoto uyu wa nyerere kupeperusha bendera ya msoma ndani ya Chadema. Musoma mjini by george malato Itv. Nb: vicent nyerere ni mtoto wa mzee kiboko Nyerere ambaye ni mtoto wa mwisho kwa mama maria nyerere. Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom