GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Kwanza nianze kwa kutoa pongezi zangu za awali kwa akina Mama ( hapa namaanisha Dada, Wake na Mademu zetu kiujumla kuelekea siku yenu muhimu ya akina MAMA duniani ambapo mimi kimantiki nadhani hata Wanawake wasio na umri mkubwa ila wamezaa basi nao pia tarehe hii inawahusu kwa sana tu ) mtakayoidhamisha hapo kesho Jumapili tarehe 8, May 2016.
Kwakuwa tayari nimeshawapa pongezi zenu sasa naomba nije katika KIINI cha huu UZI wangu KUNTU kwenu Wanawake na nitawaomba MNIVUMILIE tu kwani yawezekana kuna ambapo labda NITAWAKWAZA au KUWAUDHI japo sitafikia yale MAUDHI mliyopewa jana na yule Mbunge asiyejua thamani ya WANAWAKE labda pengine kwakuwa Mama yake hayupo tena duniani ( mnamjua wenyewe ).
Wanawake ningewashauri kuliko kusheherekea siku yenu ya kesho kwa MIKOGO ya kila aina huku wengine mkijifanya kuwakumbuka Mama zenu ambao hata hamuwajali lakini mkiwa katika runinga MISHIPA ya SIFA za KINAFIKI kwa Mama zenu / Wazazi wenu inawasimama kabisa na mkiwapamba kwa kila namna mngetumia muda wenu mwingi katika kujipanga kuyakabili haya nitakayo yaorodhesha hapa kwani kwa MTAZAMO wangu naona yana UMUHIMU mkubwa kuliko kuifurahia tu hiyo siku yenu ya kesho.
Wanawake mkiyafanya haya basi Heshima yangu kwenu itaongezeka baada ya kupungua na sasa ipo 20% tu:
Naomba kuwasilisha na nawatakieni sherehe yenu njema kesho na ninaweza hata Mimi pia nikawa mgeni popote mtakapoifanyia. Tunawapendeni sana Mama, Dada, Wake na Mademu zetu ila BADILIKENI hasa KITABIA na KIMAADILI.

- Acheni kuwa na ROHO MBAYA.
- Acheni kutumia muda wenu mwingi KUTUJADILI WANAUME jinsi ya KUTUCHUNA.
- Acheni kutuendea sisi WANAUME kwa WAGANGA ili " mkatutengeneze " vizuri.
- Acheni KUTUBAMBIKIA mimba mnazopewa " vichochoroni " na MAHAWARA zenu.
- Acheni KUCHUKIA Ndugu upande wa MWANAUME wajapo kwetu kututembelea.
- Acheni kupenda sana na mno UMBEA ambao kimantiki hauna tija yoyote kwenu.
- Kwa Mama zetu acheni KUBAGUA watoto wenu kwa KIGEZO cha KIPATO / UTAJIRI.
- Anzeni KUJIHESHIMU nyie kwanza kisha sisi Wanaume TUTAWAHESHIMU sana.
- Acheni kutuibia PESA / HELA pale tunapotundika suruali zetu ukutani au tukiwa tumelewa.
- Acheni KUTUMIKA sana na Wanaume kwa KUENDEKEZA tamaa zenu za kipuuzi.
- Wekezeni sana katika KUJITUMA na msipende sana hii kitu ya AFFIRMATIVE ACTION.
- Acheni KUSHINDANA na sisi WANAUME katika suala la USAWA halitawezekana asilani.
- Mnapokuwa masomoni jitahidini MKAZANE na msipende MBELEKO hazitawasaidia.
- Hata kama mna MAHAWARA basi jaribu KUTUHESHIMU sisi Waume zenu.
- Tukiwapiga jaribuni tu KUTUVUMILIA kwani TUNAWAKOMAZA muwe " ngangari ".
- Acheni kuwa na KIHEREHERE na KIMBELEMBELE kwa yasiyowahusu kwani MTAUMIA.
- Acheni kuwa TEGEMEZI kwetu Akina Baba ( Wanaume ) kwa kila kitu.