Kweli mmechoka mida hiyo mtawapata wenye hawara zao tu !!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli mmechoka mida hiyo mtawapata wenye hawara zao tu !!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 17, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,372
  Likes Received: 5,660
  Trophy Points: 280
  JAMANI HILI SI MTIHANI HUU AMA MAJAARIBU Ya ....kama mnaamua kuwazawadia wateja wenu wanufaike na mtandao wapen uhuru wa muda si mnajipangia mnavyotaka mida ambayo mnalala mkujua wenzenu awalali...sio kabisa kama vipi acheni kabisa kujitangazia uzuzshi kama huu[​IMG]
   
 2. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Hapo hakuna uhuru wa kuongea.bado wanatunyonya sana tu.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mwenyewe naona uzushi mtupu wandhani sisi hatulali tunasubiri Offer..
  lakini wamefanya hivyo makusudi wakijua ..ni 5% ndo wataweza kuendana na muda huo ..
   
 4. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Wanajifanya wana akili sana ,wanajua watu wamechoka hapo wanataka kupumzika kwahio sio rahisi wakafanya fujo za kupigiana simu.ndio biashara lakini ubabaishaji mwingi kila siku.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,372
  Likes Received: 5,660
  Trophy Points: 280
  Wizi mtupu ....watoe saa 12 abh mpaka sita mchana waone .....
   
 6. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,818
  Likes Received: 20,791
  Trophy Points: 280
  Maoni yangu hapo ni kuwa hizo ni PEAK na OFF-PEAK TARRIFS ambazo ziko dunia nzima kwenye huduma za simu,peak time mara nyingi watumiaji ni wengi haswa business calls ambazo ni muhimu kwa uchumi,ndio maana gharama huwa juu in order to deter leisure callers(at the same time subscribers wanamake more money)
  but off peak inakuwa cheap kwa ajili kwasababu wapigaji wengi wakati huo ni watumiaji wa kawaida sio business callers.
   
 7. P

  PELE JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 229
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Unachosema kuhusu "PEAK na OFF-PEAK TARRIFS ambazo ziko dunia nzima kwenye huduma za simu" siyo kweli kuna nchi nyingine rate ya off peak hours ni 24/7 ili kuvutia wateja wengi katika makampuni mbali mbali ya simu.
   
 8. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,818
  Likes Received: 20,791
  Trophy Points: 280
  peak na off peak ziko dunia nzima,u cant deny that,however as u said some subscribers wanaamua kuondoa ili kuvutia wateja,its some kind of promotion,so huwezi kudai,kuna pay monthly service ambayo mara nyingi unapata free minutes kutegemeana na how much u pay a month,service hii most of the time haina off peak or peak time na mara nyingi unapiga cross network,lakini ukiwa kwenye pay as u go(top up using vouchers) mara nyingi zina off na peak time.
   
Loading...