Kweli mkipendana mnafanana.

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,245
Kama unavoona mtazamaji wa Chugastan TV,huyu ni Chaliangu Mwakiposile Mwakajana akiwa na Mamilox ake anaeitwa Andongolile Mwakakesho.
Ama kweli ule usemi wa mkipendana zaidi lazima mfanane hatimae umedhihirika uku Uyole..Niki'report kutoka Uyole Mbeya,Mimi ni Ngareroo wa Chugastan TV.
@NgarenaroBoy.
 

Attachments

  • a.jpg
    a.jpg
    35.9 KB · Views: 53
Ila kwa sababu yupo kijijini tu akija town akianza kuvaa wigi na kupaka vipodozi anabadilika kabisa huyo. 😀
Kwa sura ya huyo dada akivaa wigi atafanana kama mwewe!
Unajua maana ya wigi ni ili ufanane fanane na wazungu!
hahahahahahahahh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom