Kweli Mkapa kalidanganya taifa, ona hapa jinsi Vicent Nyerere alivyo mtoto wa ukoo wa Nyerere

Utingo eeeh; mie nadhani tunashindwa kuelewa mtego mdogo sana hapa; Mkapa yeye alisema "hajawah sikia kama kwny familia ya mwl Nyerere kuna mtoto wake aitwaye Vincent" hivyo mimi kwa kutumia uelewa wa kawaida sana hilo neno "Mwl Nyerere" tu tayari linakua limetofautisha familia hii ya "Nyerere" na ya "Mwl Nyerere" cjui kama wansoma; basi hiyo ndiyo ilikua maana sahihi ya Mkapa lkn cna hakika kama alikua anamkana kuwa Vincent Nyerere c mwana Familia au Mwana ukoo wa Nyerere la hasha, huo ni mtazamo wangu"
 
Mkapa ni mjinga.. aliona kuuza mashirika ya umma ni kwamba hataionja joto ya jiwe? labda afe kabla ya 2015 vinginevyo court inamhusu......... anajifanya yeye ni ukoo wa Nyerere wakati aliomba awe mwana familia tuu! angeomba ufamilia kwa Mramba kule alikoenda kupiga magoti arudishiwe Mke.. mbona watoto wake hawanani naye? kwani yule mrombo aliomba ukoo kule? Aache kuchokoza nyuki huyo shoga!
 
Back
Top Bottom