salisalum
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 418
- 136
!
Kweli rafiki yangu aliwahi kunambia kuwa, hapa JF kuna washambuliaji na wachambuzi. Anhe User U'r the later. :hand:
Ni kweli, jamaa kafafanua vizuri lakini mtu mwingine anakuja na utumbo wa ajabu ajabu. Kwa wa huko actually hakuna tofauti ya mtoto wa Kambarage na Mtoto wa Kiboko. wote ni wa ukoo wa Nyerere. Madaraka si wa ukoo wa Nyerere kumzidi Vincenti. La baba wa madaraka kuwa raisi linamwongezea ujiko tu lakini mila zinabaki pale pale.