Kweli Mh. Rais wetu hilo ndo la kuwaweka watu uwanjani muda wote huo..

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,283
976
Yaani Mh. Rais anapiga stori za Mandela tu katika 'hotuba' yake ambayo haikuwa kufanyika kwenye maazimisho haya..
Kweli kazi tunayo.. Uchumi wetu utazidi kuporomoka!
 
Rais wa ajabu kweli yani ina maana Mandela asingefariki leo alikuwa hana la kusema du! Kwahiyo hakuna lolote la kuonyesha au kueleza ambalo linamafanikio katika uhuru huu, Rais ana washauri wabovu kabisa.
 
Risala yenyewe visasi tu....hamtaji mhasisi wa taifa ili JK Nyerere kuwa ndo kiungo chetu na South Afrika? Hivi Kikwete amemhezije Nyerere?
 
Yaani Mh. Rais anapiga stori za Mandela tu katika 'hotuba' yake ambayo haikuwa kufanyika kwenye maazimisho haya..
Kweli kazi tunayo.. Uchumi wetu utazidi kuporomoka!

Kwani alichoharibu ni kip? au ndo ukisha mchukia mtu chochote atakachofanya ni kibaya?
 
Katanguliza kusameheana cjui kaota big result ya BAVICHA 2015? chezea cdm nyinyi!
 
Amesemaje........?...na wafungwa amewasamehe......?..uwiiiiii........
 
Yaani Mh. Rais anapiga stori za Mandela tu katika 'hotuba' yake ambayo haikuwa kufanyika kwenye maazimisho haya..
Kweli kazi tunayo.. Uchumi wetu utazidi kuporomoka!

Watu wengine kama hamna la maana msiwe mnaingia humu JF kutupotezea muda na akili zenu Za kushikiliwa na Bavicha. Rais Obama mwenyewe alitoa speech nzima White House juu ya Mandela, Bunge la JMT lime fanya hivyo hivyo, Rais Kenyata nae hivyo hivyo na dunia nzima hivi sasa viongozi wake mbali mbali mbali wana mueleza Mandela, ww uko duniani au kuzimuni?. Nenda kalee familia watoto wanalia nyumbani acha kutuletea mambo ya ajabu hapa.
 
Rais wa ajabu kweli yani ina maana Mandela asingefariki leo alikuwa hana la kusema du! Kwahiyo hakuna lolote la kuonyesha au kueleza ambalo linamafanikio katika uhuru huu, Rais ana washauri wabovu kabisa.
mkuu naona chuki zimekujaa bila hata ya kutaka kudadisi ukweli. kwa kawaida huwa kunakuwaga hakuna hotuba kwenye maadhimisho haya, kwani una umri gani sista?
 
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh kwikwi kwi kiw kwi kwi kwi kwi kwi ILIBAKI KIDOGO TUH RAIS AZUNGUMZIE KUTIMULIWA KWA ZITTO mshirika wake
 
Yaani Mh. Rais anapiga stori za Mandela tu katika 'hotuba' yake ambayo haikuwa kufanyika kwenye maazimisho haya..
Kweli kazi tunayo.. Uchumi wetu utazidi kuporomoka!
kwa nini usiendelee kulifanyia kazi jina lako (sexologist). Dunia nzima sasa hivi inaomboleza kifo cha mandela, halufa taahira kama wewe unaleta utumbo wako hapa. unaudhi sana.
 
Risala yenyewe visasi tu....hamtaji mhasisi wa taifa ili JK Nyerere kuwa ndo kiungo chetu na South Afrika? Hivi Kikwete amemhezije Nyerere?

Umeonaeeeeee.... raisi mswahili sijawahi kuona yani kanibore mwanzo mwisho... mambo ya vijembe vya kipumbavu mbele ya kadamnasi yanatoka wapi kwa mtu mkubwa kama raisi
 
rais wa ajabu kweli yani ina maana mandela asingefariki leo alikuwa hana la kusema du! Kwahiyo hakuna lolote la kuonyesha au kueleza ambalo linamafanikio katika uhuru huu, rais ana washauri wabovu kabisa.

kama utakumbuka vizuri sherehe za uhuru hazina hotuba. Hotuba mwisho wa mwaka.
 
kwani mkuu we umjui huyo fastjet au mgeni kwako huyo dhaifu at maximum point.
 
Umeonaeeeeee.... raisi mswahili sijawahi kuona yani kanibore mwanzo mwisho... mambo ya vijembe vya kipumbavu mbele ya kadamnasi yanatoka wapi kwa mtu mkubwa kama raisi
mtasanda mwaka huu habari ndo hiyo ukikwazika meza wembe CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom