Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Watu wengine kama hamna la maana msiwe mnaingia humu JF kutupotezea muda na akili zenu Za kushikiliwa na Bavicha. Rais Obama mwenyewe alitoa speech nzima White House juu ya Mandela, Bunge la JMT lime fanya hivyo hivyo, Rais Kenyata nae hivyo hivyo na dunia nzima hivi sasa viongozi wake mbali mbali mbali wana mueleza Mandela, ww uko duniani au kuzimuni?. Nenda kalee familia watoto wanalia nyumbani acha kutuletea mambo ya ajabu hapa.
Kwaiyo Mandela asingekufa leo Dakta Alhaj Luteni Kanali Rais Kikwete angekuwa hana cha kuhutubia?