Kweli Mh. Rais wetu hilo ndo la kuwaweka watu uwanjani muda wote huo..

Tanzania inawatu mambumbumbu sema hawajijui tu,we ultaka aingelee nn labda akat kla mwisho wa mwez anatoa speech yake kwa watanzania?n nan asiejua kama Mandela kwa sas dunian ndo suala mtambuka?achen chuki za kkenge tutabak wakulia kila siku kama nguvu kaz ya taifa ndo nyie kla sku mnatema pumba huku tuuuu jf
 
Tatizo lenu mnataka kumfananisha Slaa na Mandela kwa kigezo kua wote ni wakombozi. Kuna kijana mmoja wa BAVICHA alisema eti Tz inajipendekeza kutangaza siku3 za Maombolezo lakini baada ya Nchi kubwa kutangaza hivyo mnaona aibu. Acheni utoto mkumbuke kua mandela ni miongoni mwa watu pekee walipigania utu na usawa binadamu wote hivyo halingani kabisa na propaganda zenu za umwamba wa kaskazini.
 
dalili za ubongo bikra ndo hizi hapa pole sn kijana.

Tatizo lenu mnataka kumfananisha Slaa na Mandela kwa kigezo kua wote ni wakombozi. Kuna kijana mmoja wa BAVICHA alisema eti Tz inajipendekeza kutangaza siku3 za Maombolezo lakini baada ya Nchi kubwa kutangaza hivyo mnaona aibu. Acheni utoto mkumbuke kua mandela ni miongoni mwa watu pekee walipigania utu na usawa binadamu wote hivyo halingani kabisa na propaganda zenu za umwamba wa kaskazini.
 
Kwani alichoharibu ni kip? au ndo ukisha mchukia mtu chochote atakachofanya ni kibaya?

Simchukii Mh. Rais as a person.. Namchukia Mh. Rais as an institution na utendaji kazi wa hyo institution.. Yeye kama yeye nampenda na kumthamini sana.. Ila si utendaji kazi! Kwa maana ratiba yake inaandaliwa na taasis ya urais..
 
Hukulazimishwa kwenda ungekaa kwako ukaangalia movie,no discussion

Kama ambavyo sikukulazimisha uchangie.. Ungeweza kusoma tu na kuendelea ku'search site za porn kwenye google.. Au kurudi jukwaa la chit chat!
 
ukisikia utapiamlo wa ubongo basi huu upo wa mwisho.sasa wewe ulitaka aongelee nini?
 

Watu wengine kama hamna la maana msiwe mnaingia humu JF kutupotezea muda na akili zenu Za kushikiliwa na Bavicha. Rais Obama mwenyewe alitoa speech nzima White House juu ya Mandela, Bunge la JMT lime fanya hivyo hivyo, Rais Kenyata nae hivyo hivyo na dunia nzima hivi sasa viongozi wake mbali mbali mbali wana mueleza Mandela, ww uko duniani au kuzimuni?.

La maana ndio nimeliweka, baya kwako zuri kwake.. Wasema nakupotezea muda, nimekuita??

No research, denied right to speak, umejuaje mi ni BAVICHA?

Umesikiliza vizuri hotuba ya hao viongozi wa dunia (Hu Jintao, Obama, Cameroon, Merkel, Moon na hata Kenyatta) juu ya Mandela? Je zinarandana au kushabihiana hata kidogo na ya Mh. Rais wetu?? Na umeona kwenye neno hotuba nimeweka alama ' ' unajua maana yake??
 

Watu wengine kama hamna la maana msiwe mnaingia humu JF kutupotezea muda na akili zenu Za kushikiliwa na Bavicha. Rais Obama mwenyewe alitoa speech nzima White House juu ya Mandela, Bunge la JMT lime fanya hivyo hivyo, Rais Kenyata nae hivyo hivyo na dunia nzima hivi sasa viongozi wake mbali mbali mbali wana mueleza Mandela, ww uko duniani au kuzimuni?. Nenda kalee familia watoto wanalia nyumbani acha kutuletea mambo ya ajabu hapa.

asinge dwell sana kwa mandela kwa sababu alishasema hapo hawali,leo ni siku ya uhuru sio siku ya madela bana,angetueleza wapi tumetoka na wapi tunaelekea kama taifa...najua ccm na serukali yake hawana ya kujivunia thats why msiba wa madiba imekuwa talk of the day uwanjani
wezetu wakenya kwa kusherehekea miaka 50 ya uhuru wame lounch sh50 ya coin,sisi je kama sio vijitisheti vya buku tano..siku ya lei ni siku muhimu sana sio siku ya blah blah.
 
kwa nini usiendelee kulifanyia kazi jina lako (sexologist). Dunia nzima sasa hivi inaomboleza kifo cha mandela, halufa taahira kama wewe unaleta utumbo wako hapa. unaudhi sana.

Pole kwa kukuudhi.. I had a very single logic.. Tazama alama ' ' katika neno hotuba.. Kama unajua maana ya hzo alama utaelewa.. Ila kama ni headless wandering chicken hutaelewa!! Kifupi alichofanya sio hotuba ni stori.. Unajua contents za hotuba? Au unaleta 'ur residues' tu hapa??
 
quote_icon.png
By sexologist

Yaani Mh. Rais anapiga stori za Mandela tu katika 'hotuba' yake ambayo haikuwa kufanyika kwenye maazimisho haya..
Kweli kazi tunayo.. Uchumi wetu utazidi kuporomoka!

Wewe kweli ni SEX-OLOGIST (huwezi kuwa na akili ukajiita jina hilo hata kama ni aka) na nadhani unatiwa vidole kwa sababu akili huna. Bahti mbaya humu wamebaki bavicha-Lema ambao akili zao ni ndogo kama nanihiii yq panya. Unachoongea hukujui na kweli cdm kazi inayo. HGreat thinker cdm wote wameondoka na Zito, mmebaki ndondo. Uliona wapi siku ya leo zinatolewa hotuba, lakini kwa kuwa dunia imesimama kwa kifo cha Mzee Madiba viongozi wote wenye akili wakipata nafasi hizi lazima zitumike. Hushangai kwanini Mbowe leo katia timu na kawahi nafasi uwanjani, unamshangaa mtu makini na mwenye nchi. Mbowe watu wako hawakusaidii humu ndani, cdm inazidi kuonekana kituko zaidi, wamebaki majuha wasiojitambua





 
Huna haki ya kunitukana mkuu.. Attack my content sio avatar..
Jibu tu hoja yangu, matusi hata mimi nayaweza, sema busara inatumika.. Hunijui sikujui..

Hoja yangu ni Rais kushindwa kutoa hiyo hotuba badala yake amezungumza hadithi! unajua contents za hotuba?? Umesikiliza hotuba za viongozi wengine juu ya Mandela?
 
angeongele uchumi leo ndo ungepanda..

Hajui cha kuongea. And I don't mean the so called president of this beloved country. Why did those people who brought him in power stoop so low as to do what they did is a mystery to me todate
 
Back
Top Bottom