Kweli Mbuzi wa kafara tumemuona Arusha. Asante mkulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli Mbuzi wa kafara tumemuona Arusha. Asante mkulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RACKY, Jan 6, 2011.

 1. R

  RACKY Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Yalo semwa na mkulu, nimeamini alikuwa ana manisha,
  wa TZ Ha2na budi kushukuru kwa wenzetu kufanywa mbuzi wa kafara.
  Mwenyezi mungu azilaze mahali pema roho za walio katishwa uhai wao Arusha.
   
 2. k

  kituro Senior Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huo ni mwanzo tu! Watatumaliza wote! Lakini ni mpaka kieleweke!
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Umaarufu wa CHADEMA umeongezeka mara mia
  Lema atakuwa mbunge wa Arusha kupitia CHADEMA mpaka akatae mwenyewe.
  Kitendo cha kupigwa kwake kimempa umaarufu mkubwa sana.
   
 4. comson

  comson JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mkulu ni kama mjusi tu kwenye msafara wa mamba......!hana jipya
   
Loading...