Kweli Mama-Mbega huponzwa na uzuri wake

Shomoro

Senior Member
Aug 22, 2010
111
26
Baada ya kugaragazwa na Mchungaji pale Iringa mjini, nilitarajia Sisiem walipe fadhila kwa huyu mama angalau kwa kumpa kale ka-ubunge ka viti maalum kama walivyopewa akina mama wa Demokrasia. Nahisi huyu mama sasa hathaminiki kama "taulo la gesti" licha ya kuwa presha ilipanda na kushuka mara baada ya kukubali kipigo. Au labda ni mapema huenda mkulu akamuona na kumshushia u-DC ama u-RC wa mji kasoro bahari. Kazi ipo
 
Mbona title na content haviendani?
 
Hapa kalikuwa kazuri kwelikweli

2796.png
 
Baada ya kugaragazwa na Mchungaji pale Iringa mjini, nilitarajia Sisiem walipe fadhila kwa huyu mama angalau kwa kumpa kale ka-ubunge ka viti maalum kama walivyopewa akina mama wa Demokrasia. Nahisi huyu mama sasa hathaminiki kama "taulo la gesti" licha ya kuwa presha ilipanda na kushuka mara baada ya kukubali kipigo. Au labda ni mapema huenda mkulu akamuona na kumshushia u-DC ama u-RC wa mji kasoro bahari. Kazi ipo

Inaonekana hata hujui utaratibu wa kupata viti maalum CCM.
 
Siyo oversight ........ni kwamba ume-post pumba! JF pia wanaruhusu kuwa msomaji tu, siyo lazima uanzishe thread kama huna jambo la msingi la kuleta hapa jamvini.

Babu masharubu punguza jazba what's the fuss?
 
Baada ya kugaragazwa na Mchungaji pale Iringa mjini, nilitarajia Sisiem walipe fadhila kwa huyu mama angalau kwa kumpa kale ka-ubunge ka viti maalum kama walivyopewa akina mama wa Demokrasia. Nahisi huyu mama sasa hathaminiki kama "taulo la gesti" licha ya kuwa presha ilipanda na kushuka mara baada ya kukubali kipigo. Au labda ni mapema huenda mkulu akamuona na kumshushia u-DC ama u-RC wa mji kasoro bahari. Kazi ipo

Uzuri wa mama mbega sisi unatuhusu nini?

1. Mind you.....people with simple minds like you, always discuss persons! and those with strong brains will always discuss issues!

2. Lete issues siyo kujadili mara uzuri, mara nini?

3. Una uhakika akina mama wa demokrasia "wamepewa"? au unaropoka tu ilimradi na wewe uonekane umeanzisha thread?

Period! Idiot!
 
lol.. punguza jazba funga vifungo vya shati kaachini basi.. ! alafu muulize kuhusu kisomo chake :smile-big:
 
Now I'm beginning to understand you. You are d.u.l.l and you would rather prefer people to spoon-feed you and that’s you don’t see a point in my post. Don't sweat it out man and get a life i.m.b.e.c.i.l.e.
 
Now I'm beginning to understand you. You are d.u.l.l and you would rather prefer people to spoon-feed you and that's you don't see a point in my post. Don't sweat it out man and get a life i.m.b.e.c.i.l.e.

Thank you Shomoro for this useful post! May God bless you!

lol.. punguza jazba funga vifungo vya shati kaachini basi.. ! alafu muulize kuhusu kisomo chake :smile-big:

hapo kwenye red nimekuelewa! Let me calm down! manake nikianza kukimbiza kichaa aliyebeba nguo zangu huku nikiwa mtupu miye ndio nitaonekana mwendawazimu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom