Kweli makalio ya sufuria hayaogopi moto

kuziogopa nin?
taa za barabaran?twaziogopa ndo mana twaangalia uku na uku b4 hatujavuka barabara!!!!
 
quote_icon.png
Originally Posted by henge
ni kweli unaweza kukuta zingine zinameno!

Lakini meno yenyewe ya udongo sio sharp, so unakanya tu tena peku
 
we afrodenzi unaakili sana ulizaliwa alfajiri nini?Waziogope kwani zinashoti ya umeme ndani yake
 
we afrodenzi unaakili sana ulizaliwa alfajiri nini?Waziogope kwani zinashoti ya umeme ndani yake


ndo maana yake...
tukiziogopa hakuna mtu atakaye pata raha dunia hii.hahahah
hiyo ni dhahabu bwana uwe maskini au tajiri
bado uta ipata ...lol
 
Back
Top Bottom