Kweli maisha connection

Aseh unatushauri nini Mkuu si tuona tafita ajira
Tutengenezeje Connection kama ni watoto wakajamba
Tunaomba binu zakupata kwanza hiyo connection

Je wanaoitwa kwenye interview wanaedaga tu
Unawashauri vijana wafanye nini ili waweze kufanyikiwa kupata connection?

Watu gani muhimu zaidi wakuwafata ili mfu aweze kupata connection Mkuu
Wale uliosoma nao,walimu wako ni connection,wale unaoishi nao kijijini kwenu ni connection.Hakuna kijiji Tanzania ambacho hakijatoa msomi.Kujitolea ni kutafuta connection.Girl friend,boyfriend ni connection.Mtu unaekutana nae kwenye basi ni connection.Jenga trust kwa watu uliofahamiana nao.Jiunge na vikundi mbalimbali.Mtu wa chuo kukosa connection ni utani labda hauchukulii serious hao unaofahamiana nao.Hadi mamantilie kupata kijiwe anahiyataji connection.Kila kitu kinahitaji connection hats kupiga debe hauibuki tu lazima kuna mtu pale akuunge.
 
Motivational speaker

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom