Kweli Magufuli anataka kuifufua ATCL, ila hii "kachumbari ya ndege" anazonunua inatia mashaka

barafu ushauri muruwa mm naona kuna kutafuta sifa kama nimenunua ndege nzuri instead ya kusimamisha shirika maana atakuja na airbus kutusifia na pia tutanunua hebu tuwe makini madam nia rais kaonyesha aache wataalam wafanye yao
Green Africa Airways, a startup airline based in Lagos, Nigeria, has just placed an order for up to 100 Boeing 737 MAX 8 aircraft. This includes 50 firm aircraft orders, as well as 50 options.

The total deal carries a list price of $11.7 billion, which is the largest single aircraft order we’ve ever seen from Africa. That’s pretty remarkable, when you consider that this isn’t even an airline that’s flying yet.

Source: onemileatatime.com

Hawa wameagiza ndege 100 kwa mpigo na zote ni za aina moja, Boeing 737 MAX 8 na siyo kachumbari.
:
 
Mkuu kichaa anajichotea tu hazina bila idhini ya Bunge na ndiyo sababu akaja na mkakati. wa kumuweka mtoto wa dada yake Dotto James pale hazina ili wachote kirahisi na katika uchotwaji huo wa kiholela ndiyo wakakwapua na 1.5 trillions.

Sasa hivi wako busy na mkakati wa kumchafua na kumtisha CAG ili ajiuzulu au wawe na justification ya kumfuta kazi na hivyo aweke kikaragosi chake kingine ambacho hakitagusa maovu ya huyo kichaa.

Haya matumizi makubwa ya fedha sijui yamepangiwa bajeti na wizara gani na bunge letu tukufu, au mkulu anachepua mwenyewe toka hazina!? Nachelea kuona watoto wanakosa chanjo za degedegeu,polio,surua na pepopunda kutokana na budget deficit.
 
Hahaha mimi sipingi nimpenzi wa kachumbari sanaa. Ni appetizer nzuri kwangu binafsi. Sababu za barafu nzuri lakini naona bora kuchanganya, haya madude huwa yanapata manufacturer defects wana fanya recalls sasa tukiwa na ndege aina moja tunaweza kuwa grounded, lakini kukiwa na recall ya bombadia, Dreamliner inaweza piga mzigo wakati Bombadier zikipata matengenezo.
 
Green Africa Airways, a startup airline based in Lagos, Nigeria, has just placed an order for up to 100 Boeing 737 MAX 8 aircraft. This includes 50 firm aircraft orders, as well as 50 options.

The total deal carries a list price of $11.7 billion, which is the largest single aircraft order we’ve ever seen from Africa. That’s pretty remarkable, when you consider that this isn’t even an airline that’s flying yet.

Source: onemileatatime.com

Hawa wameagiza ndege 100 kwa mpigo na zote ni za aina moja, Boeing 737 MAX 8 na siyo kachumbari.
:
Hao sherehe zao za kuipokea siipatii picha kama sisi mapangaboi ni hivi?
 
Watabiri wamerudi tena!!!
Awamu hii Ni mwendo wa kutabiri kushindwa tu!!!
Lkn mtoa mada umejaribu kujenga hoja lkn haijitoshelezi!!! Hizo sio sababu kweli Za kuifanya ATCL ikwame Na hata ilipo kwama hapo nyuma kabla ya JPM sio kwa sababu hizo!!
RwandaAir wanazo Dreamliner na bombardier, Hao Ethiopia Airline nao hadi Leo hii wanazo Na hawajakwama, sisi ndio tumeanza naamini Na sisi hatutakwama!!!
Sasa tunaweza kujadiliana tena mkuu?
 
Wakati tunaendelea kumpongeza Rais JPM kwa juhudi zake za kufufua shirika la ndege Tanzania(ATCL) tujipe na muda wa kutafakari pia mambo mengine na "kuhoji" kwa nia njema ya kutuondoa hapa tulipo kwenda mbele.Kuhoji kwetu ichukuliwe kama changamoto ya kulihuisha shirika letu na si kuliangamiza.Isije ikawa kuna watu hawamshauri vizuri Mzee au wanataka kumuingiza kwenye historia ya walioshindwa kuirudisha ATCL angani kama miaka ya 1980.

Kuhama toka kwenye "bombadia" mpaka kwenye "Dreamliner" ambayo ni B787(New Generation) wakati tumeacha wala hatuna wataalamu wa B737,B738,B739,B767 na B777...tumeruka generation yote ya kati mpaka kurukia latest ya B787....

Ni mtazamo tu;hatuisimangi ATCL
Mkuu barafu , kwanza asante kwa bandiko hili, sasa leo ndio nimekuelewa ulikiwa unasema nini!. Kumbe kuna vitu humu vilisemwa na vikapuuzwa, sasa leo ndio tunaona matokeo. Big up sana kwa hii.
P
 
Mkuu barak, kwanza asante kwa bandiko hili, sasa leo ndio nimekuelewa ulikiwa unasema nini!. Kumbe kuna vitu humu vilisemwa na vikapuuzwa, sasa leo ndio tunaona matokeo. Big up sana kwa hii.
P
Hahahahah

Ni baada ya mwendazake kuenda zake

Taratibu unaanza kurudi Safi Sana mzee wangu .

Tuache kuabudu watu tuzingatie misingi

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu barafu , kwanza asante kwa bandiko hili, sasa leo ndio nimekuelewa ulikiwa unasema nini!. Kumbe kuna vitu humu vilisemwa na vikapuuzwa, sasa leo ndio tunaona matokeo. Big up sana kwa hii.
P
Wacha unafiki na ushenzi...Wewe ndio mmoja wa viongozi wa Praise timu...Uliamua kuacha taaluma yako kwasababu ya njaa ya madaraka na kuvizia kuteuliwa.....Watu kama nyie ni wakudharauliwa mpaka mnaingia kaburi..
 
Back
Top Bottom