Kweli magamba yamechokwa

mgoli magombe

Senior Member
Apr 20, 2013
121
27
Natoka ibadan npo ferr hapa magogoni nayaona magamba cjui yanamkutano hapa watu hata 30 hawafiki na ni wale madereva bajaji wanaosubiria abilia.
 
Natoka ibadan npo ferr hapa magogoni nayaona magamba cjui yanamkutano hapa watu hata 30 hawafiki na ni wale madereva bajaji wanaosubiria abilia.
We piga kelele tuu lakini 2015 mtatagiahwa mayai ya ccm....unadhni siasa ni kama aoko la kaiakoo ambapo ukiona watu wengi ndo biashara imekubali
 
We piga kelele tuu lakini 2015 mtatagiahwa mayai ya ccm....unadhni siasa ni kama aoko la kaiakoo ambapo ukiona watu wengi ndo biashara imekubali

ndo ule wizi wenu wa kura mliouzoea mnadhani mtaiba kila siku mtaangukia pua na mdomo
 
habari ya mjini bila wizi wa kura MaCCM hawawezi kushinda kamwe!!
Waulize Arumeru walifanywaje??
We jifariji lakini watu wamefunguka, safari hii hamchomoi!!
 
Last edited by a moderator:
Kwani walikosa fedha za kukodi malori, lkn watu wa Dsm awapandi huo usafiri, wameula wa chweya.
 
Back
Top Bottom