Kweli Macio Maxicimo unanifurahisha sana!!unarudi kuifundisha Yanga????

Mkuu nilipigwa bann ila leo nimetoka kifungoni!!!..........Sasa umesikia Macio Maximo kasema hawezi kuja kufundisha yanga hajafikia uwezo wake kisoka haujaporomoka kiasi hicho wazee yanga wanatafuta mchawi.....YANGA BWANA MNAFURAHISHA!!!:wink2:

Karibu sana mkuu,anyway suala Maximo ni utata mtupu,Yanga na huyo mzee wao anayejiita Akilimali ni WAHUNI tu.Naona wanataka kumuangushia jumba lao bovu kijana asiye na hatia Shaffih Dauda.
 
Mkuu nilipigwa bann ila leo nimetoka kifungoni!!!..........Sasa umesikia Macio Maximo kasema hawezi kuja kufundisha yanga hajafikia uwezo wake kisoka haujaporomoka kiasi hicho wazee yanga wanatafuta mchawi.....YANGA BWANA MNAFURAHISHA!!!:wink2:

Mawazo mengine sijui yamekaaje,si wewe ndo yule uliyekuwa unamponda ooh kocha wa daraja la ngapi sijui amekosa team ya kufundisha ndo maana anataka kurudi Yanga...mara hii unaafikiana naye kuwa uwezo wake wa kufundisha soka ni wa juu sana haulingani na Yanga.....ngoja niishie hapa usije kunisababishia bann tena bure
 
Ndo maana niliwambia nikichekesho cha maximo kuja kufundisha yanga maana nilimshangaa Maximo ajehuku Tz kujakufundisha timu ya uvunguni mwa soka!!Kwahiyo kwangu ilinifurahisha sana na baada yakusikia mkijitapa kumleta kujakufundisha yanga??na kumbe mpango huo haukuwepo kabisa ndo nikajua maximo hakuwa amefikia kiwango hicho!!cha soka kwake kuporomoka hadi chini...!!
 
Mkuu Kakakiiza hawa ndala wasikuchoshe, wametapatapa mno mwaka huu, mara wanunue jezi za Kiyovu, mara Setif mara za Shandy, mara waishabike Malawi, Ivory coast, Ghambia na juzi wameshabikia msumbiji hata hawajielewi wanabadili timu zao za kushabikia pamoja na za Taifa kula kukicha.

Jiulize swali rahisi tu unafikiri kuna timu inaweza fukuza m/kiti, kocha pamoja na kapteni wa timu kisa wamefungwa tano.

Humu humu walisema ndani ya masaa 72 Okwi atasaini Yanga sijui masaa ya Yanga ni tofauti na masaa ya kawaida.

La Maximo ndo kichekesho mtu hamjakubaliana naye mnatangaza siku ya kuja, jana nilimsikia katibu wa Yanga anahojiwa radio one kuhusu ujio wa Maximo akabaki kujiumauma anasema hawajawahi kumtangaza Maximo wakati msemaji wao Sendeu alishataja hadi siku, mnaona siku zinaenda mnaanza kutupia watu magunia ya misumari.

Mimi nawapa ushauri wa bure hangaikeni kwanza na uchaguzi, mkishapata uongozi ndo hao viongozi watashughulika na mengine.
 
Nasema kocha Macio Maxicimo unanifurahisha sana yani kumbe hata uwezo wako ulikuwa wachini??kwenu nikocha waligi daraja la pili??!!Ukaja hapa ukawa kocha wa timu ya Taifa la Tanzania ukilipwa Mshahara wa Milioni 30,Gari,nyumba na marupurupu kedekede!!Ina maana Tanzania haina washahuri wa soka?
Leo hii unalilia kuifundisha YANGA!! Na hii migogoro ya vilabu unaijua fika na wewe umekubali?ama kweli Njaa haina Bouncer !!anzania
Kesho tutakukuta kwenye kombe la kinesi............kila laheri Macio Maxicimo.....

Muda wote aliokaa Tanzania pamoja na kuandikwa sana kwenye magazeti bado huwezi kuandika jina lake kwa usahihi!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom