Kweli maajabu bado yatatokea! Kuku jike ageuka kuwa JIMBI! Mmmmmhh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli maajabu bado yatatokea! Kuku jike ageuka kuwa JIMBI! Mmmmmhh!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Nov 4, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kubali usikukubali! Kuku mwenye awamu 3 akiwa anatotoa vifaranga yake,lakini awamu hii ya nne akawatelekeza vifaranga wake na kuanza kuwa Jogoo na kuanza kuwika. Ni kuku wa mfugaji mkongwe wa mifugo Bw. Peter Bayya wa Kenya Wilaya Kilindi mtaa wa Timboli akiwa na umri wa 6yr ktk kazi yake ya ufugaji. Na hili limethibitishwa na Dr wa mifugo Bw.Cris Wanga. Source: BBCswahili.com
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Duh! Kweli siku za mwisho, mengi yatatokea!
   
Loading...