kweli kuwa mwanamke halafu single kuna raha yake-mbarikiwe sana wanaume

Duh na ile offer yangu ya kwenda kula mihogo kimanzichana mbona umeichunia
Au kwa kuwa haina cash na tunaenda na dala dala na msimu huu wa mvua umeona haina maana eehhh
 
Afu nimegundua kitu
Watuwanapenda kusikia mazuri tu
Sijui mabaya yanatendwa na nani
Si ndo watu kama sie/

Mi namsapoti sile awachange kabisa
Ili mnunue hata stalet ya zambarau
wewe...Starlet haitoki hivi hivi...lazima aitumikie na atumike haswa!! Hivi kuna magari yana rangi ya zambarau?
 
x-amenipa hela ya kununua moka
y- nauli ya kwenda bush
z- ticketi ya kwenda bush ila tuondoke wote tar 24 maana tuko village moja
w-lift ya kwenda bush,ila sitaki nani akwame barabarani na mavua haya na offer ya ndege ipo
p-hela ya saluni
0-hela ya nguo na viatu
t-hela tu ya kula sikukuu
c-hela ya wazazi
a-blackbery
b-ngoja nimfate hii ni ya misclenous expenses
yaani nisipofungwa mwaka huu basi na bado wanaendelea
mbarikiwe wanaume wote duniani

You must be a young millionaire Take care, mwekezaji yoyote anahitaji faida in return
 
x-amenipa hela ya kununua moka
y- nauli ya kwenda bush
z- ticketi ya kwenda bush ila tuondoke wote tar 24 maana tuko village moja
w-lift ya kwenda bush,ila sitaki nani akwame barabarani na mavua haya na offer ya ndege ipo
p-hela ya saluni
0-hela ya nguo na viatu
t-hela tu ya kula sikukuu
c-hela ya wazazi
a-blackbery
b-ngoja nimfate hii ni ya misclenous expenses
yaani nisipofungwa mwaka huu basi na bado wanaendelea
mbarikiwe wanaume wote duniani

JIANDAE KUPOKEA YAFUATAYO KUTOKA KWAO
B - UTAPOKEA KIPIGO KUTOKA KWA MKEWE
A - UTAPATA KASWENDE YA MDOMO KUTOKA KWAKE
C - UTAPATA KASHFA NA MATUSI YA NGUONI KUTOKA KWA CHANGU WAKE
T - ATAKUFUMANIA UKIWA NA O NA WATAKUDHALILISHA VYA KUKUTOSHA
P - ATAKUAMBUKIZA UKIMWI
x - ATAKUPA USHAURI WA KUISHI KWA MATUMAINI KUKUMWAGA
Y - ATAHUDHURIA MAZISHI YAKO

yaani una bahati sana, kazi ni kwako
 
x-amenipa hela ya kununua moka
y- nauli ya kwenda bush
z- ticketi ya kwenda bush ila tuondoke wote tar 24 maana tuko village moja
w-lift ya kwenda bush,ila sitaki nani akwame barabarani na mavua haya na offer ya ndege ipo
p-hela ya saluni
0-hela ya nguo na viatu
t-hela tu ya kula sikukuu
c-hela ya wazazi
a-blackbery
b-ngoja nimfate hii ni ya misclenous expenses
yaani nisipofungwa mwaka huu basi na bado wanaendelea
mbarikiwe wanaume wote duniani

Si Lakini wote wanatumia hiyo nyeti, kuna ubaya gani? Kama wote wanakojolea kwenye shimo hilo hilo na wewe ndo kazi yako kuliosha hizo *** what is the problem? If they use you, use them too to maximize the profit/income.

Lakini kumbuka hiyo ni chain reaction in physics we call it nuclear reaction in chemistry we call it polymerization reaction to a complex compound. Kwa hiyo Ukimwi unazidi kuenea tu baadaye hivyo vitu vitakusaidia kujiuguza. Na hao a, b, c, nk hutawaona tena. They can just spread HIV to you and you enjoy it lakini na wewe safari ndo hiyoooo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom