kweli kuwa mwanamke halafu single kuna raha yake-mbarikiwe sana wanaume

Kaka, reward yao wote inakuwaga moja ama moja na mbili tu. Kupanga ni kuchagua. Niliona fb wall ya gay mmoja wa udsm anasema ' what I lov the most abt being gay is I get everything at my fingertip without having to lift a finger'
Unajua hakuna kitu cha bure eeh...sasa Smile...ebu tuambie tartiibu kila mmoja apo reward yake ni nini kabla wenyewe hawajaja "kukudai?"lol
 
Kila mjanja ana mjanja zaidi yake
Life is gambling
Sometimes you win, sometimes you loose

Acheni woga, Smile utaniPM nikupe more tricks
Tena watakuwa wanatoa pounds
Mjini raha sana ukiamua kuwa tapeli wa watapeliwa wa hiari
mmmh mi sitaki kuwa tapeli bwana mi mlokole mie
 
Kwani raha ya futiball ni nini
Si kuwachenga wale 10 na kipa wa 11 afu ukatikisa nyavu?
Na ukitikisa nyavu si unaskia raha

Kila mchezo una raha yake

Sasa raha hapo ni nini? Kuwadanganya hao wanaume au? Manake nna hakika kila mmoja hapo anajua kuwa yuko peke yake na ndio mana ametoa huduma.
 
Kuna kitu kinaitwa Individual Talent(I.T)
Hapo ndo umaarufu wa mchezaji huanzia
Unawapanga wote na hakuna anayepata kitu

Labda kama unacheza makombe ya mbuzi
ila ligi za kulipwa kunakila tricks za kutumia
Tumia kichwa chako kufikiri, siku wahisani wakitaka kitundu kidogo utakataa?
 
Hongera kwa kung'amua janja la hili ghuberi la mjini! Linakuvuta kwa maneno matamu ya kuonesha lina support tabia yako chafu ili likupate. Likikupata utajuta litakavyoanza kukusaga, kuchomoka ndo utashindwa kabisa baada ya kuwa blackmailed....maana wakati huo litakuwa na contacts za mabwana zako wote unaowatapeli! Sasa hapo ndo unakuja ule msemo ukimwaga mboga namwaga ugali!
mmmh mi sitaki kuwa tapeli bwana mi mlokole mie
 
Si kweli!!..Otherwise,najua thread yako haina ukweli in real life..Na kama ina ukweli hongera kwakuwa na investments za kutosha.
tena si hayo tu mbona sifa yangu kubwa ni kutosema uongo daima uliza kwa wanaonijua hapa jf.
 
Kuna kitu kinaitwa Individual Talent(I.T)
Hapo ndo umaarufu wa mchezaji huanzia
Unawapanga wote na hakuna anayepata kitu

Labda kama unacheza makombe ya mbuzi
ila ligi za kulipwa kunakila tricks za kutumia
kweli kongosho
 
Hao wameamua kutapeliwa kwahiari
Usiogope
Tena ukiweza kula na mifupa yao
Raha ya supu iwe na mfupa
Na raha ya mfupa ule na bone marrow

Ukiingia kwenye fani uwe umedhamiria vinginevyo jitoe mapemaa
mmmh mi sitaki kuwa tapeli bwana mi mlokole mie
 
Kaka, reward yao wote inakuwaga moja ama moja na mbili tu. Kupanga ni kuchagua. Niliona fb wall ya gay mmoja wa udsm anasema ' what I lov the most abt being gay is I get everything at my fingertip without having to lift a finger'
acheni wivu bwana
 
Kwani raha ya futiball ni nini
Si kuwachenga wale 10 na kipa wa 11 afu ukatikisa nyavu?
Na ukitikisa nyavu si unaskia raha

Kila mchezo una raha yake
Endelea kumfariji smile....lol. Chezeiya kongosho eeh?...kongosho janja ya mujini bana!
 
He he he he, wewe bado unasagwa?
Wenzio tunakoboa na kuparaza tu

Mpunga umepanda chati msimu huu, unga hauna nafasi
Unaingia kwenye kilimo bila kujua sera zake
Utaroweshwa weye!!!!
Hongera kwa kung'amua janja la hili ghuberi la mjini! Linakuvuta kwa maneno matamu ya kuonesha lina support tabia yako chafu ili likupate. Likikupata utajuta litakavyoanza kukusaga, kuchomoka ndo utashindwa kabisa baada ya kuwa blackmailed....maana wakati huo litakuwa na contacts za mabwana zako wote unaowatapeli! Sasa hapo ndo unakuja ule msemo ukimwaga mboga namwaga ugali!
 
Hao wameamua kutapeliwa kwahiari
Usiogope
Tena ukiweza kula na mifupa yao
Raha ya supu iwe na mfupa
Na raha ya mfupa ule na bone marrow

Ukiingia kwenye fani uwe umedhamiria vinginevyo jitoe mapemaa
kwa iyo nafanya utapeli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom