kweli kuwa mwanamke halafu single kuna raha yake-mbarikiwe sana wanaume

Safi eee! Kweli safi kwa Smile! Ukimuona Mwewe anamsifia mama Kuku kua yu'mwema na mkarimu kimbia haraka ukahesabu vifaranga!. Ninaimani huyo muwezeshaji pengine hata shati lake la x-mas hajanunua!

Habari ya enzi hizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom