Kweli kuna haja ya kusoma vipaji vya watoto wetu na kuviendeleza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli kuna haja ya kusoma vipaji vya watoto wetu na kuviendeleza

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mandown, Apr 16, 2012.

 1. Mandown

  Mandown JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 1,577
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  hivi karibuni amezikwa msanii nguli ambaye naa mini hakuwa msomi saana, ameishia elimu ya sekondary tu lakini ana mafanikio makubwa. kama wazazi wake wange kuwa ndio wale wa "kitaratibu", natumai saa hii kanumba angekuwa risiti form six!!
   
Loading...