Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 4,913
- 12,987
Itakua ameshajinyonga
Na hawa watoto huwa wananifanya nizikumbuke bar za arusha,arusha kuanzia bar mpaka grocery n watoto wakali tuHao ni wairaq. Kiukweli ni moja ya pisi kali sana na ukiwaweka na wanyaturu hapo.
Huwezi kujizuia
Screenshot huo mkeka tuone kwenye huu uzi wakohahahhaa sio mjinga kiasi hicho mimi
umeongea ukweli, wale wanaojinyonga hua wanashindwa kutambua huu ukweli kabla ya kubetTatizo ni kwenye kusema Ku-Bet ni Kazi..., Ku-bet ni Luxury wewe bet something you can afford kama vile tu unavyokunywa bia..., Uki-Bet consistently in the end mshindi anajulikana (na mshindi huyo sio wewe)
Its mathematically Proven
jamaa aliamua kubet yellow/redcards au?Jana kuna muingereza kapiga £18.7K kwa pesa yetu ni TZS 59MView attachment 1954792
Mkuu mimi nakutakia kila la kheri aisee. Yaani ukiangalia kwa macho tu unaona umekula mamilioni ya pesa. Kama ni bahati yako ni yako tu hakuna timu itakayoleta uchawi. Kila la Kheri. Ulishinda pia iwe funzo kwa makaria wengine wa kubet wawe wavumilivu. Wengi wanapenda mechi leo na leo au kesho apate ela.
Yellow card.jamaa aliamua kubet yellow/redcards au?
Hili treni lazima lifike Kigoma.
Kajitahidi sana kufanya chaguzi nzuri za mechi. Naamini jamaa ana mbutua muhindiHili treni lazima lifike Kigoma.
Ukipotza hela kwenye mech 3 wakat ulitarajia kupata mil5 nisawa namm kuipoteza hiyo fedha kwamiezi6 nikiwa nacheza buku tuu kwasiku.Probability nzuri saana ukiijua
Ila kubety ni uchawi
Bora kubeti mechi chache.kwa.mpunga mrefu
Mkuu kweli subira yavuta heri... hongera ushawin mkuu
Yani unabet mechi 38 unaaikiki kweli.. hiyo million 30 utaendelea kona kwenye karatasi tu.