Kweli Kubet ni kazi ngumu

Pole sana mkuu, halafu humu JF muna kama gundu fulani. Ukitangaza ngumu sana kutoboa
 
Demu unaemwamini sana ndie anaekupa ukimwi.

Pole Sana mtoa mada,
Bayern Ni UMBWA kabisa
IMG_20210917_164049.jpg
 
Sema mkuu wanasema wengi wao they are not wife materials..hivi hili lina ukweli au ni fallacy ya generalization tu inayotusumbua wabongo?
Hawanaga neno hapana awe ameolewa au hajaolewa. Kwao Ni kawaida tu.ila siyo kosa lao ni Mila na desturi za kwao.

Siwezi sema Ni wote lakn huwezi kuoa ile kabila halafu usimegewe. Wanaweza a wao kwa wao.
 
hizi mishe ndo nmeshindwaga kabisa an. Unaeka moyo rehani, af mkeka ukichanika unajikuta unatukana kimoyomoyo.
Be lyk " dadeq hii 10k ningenunua ata fresh juic na mazagazaga kibao nikashiba" ila poa, sibeti tena.

Kesho unatandika tena mkeka, nao unachanika
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom