M mkama Member Oct 19, 2007 67 10 Oct 25, 2007 #1 Ni kweli kwamba kocha wa timu ya taifa ya tanzania ya mpira wa miguu analipwa hela nyingi kuliko makocha wengine wote afrika? Naomba mwenye info atumwagie hapa jf
Ni kweli kwamba kocha wa timu ya taifa ya tanzania ya mpira wa miguu analipwa hela nyingi kuliko makocha wengine wote afrika? Naomba mwenye info atumwagie hapa jf
S Semanao JF-Expert Member Jul 25, 2007 208 16 Oct 25, 2007 #2 Kwani analipwa shs/USD ngapi? hii itasaidia kupata pa kuanzia sio hewani namna hiyo.
Dua JF-Expert Member Nov 14, 2006 3,236 668 Oct 25, 2007 #3 Hizo ndizo pesa wanazokwiba halafu wanajifanya kumwekea mkataba ambao hata TFF hawaoni ndani. MAFISADI.
Hizo ndizo pesa wanazokwiba halafu wanajifanya kumwekea mkataba ambao hata TFF hawaoni ndani. MAFISADI.
Icadon JF-Expert Member Mar 21, 2007 3,581 191 Oct 25, 2007 #4 I thought Pereira wa South ndio analipwa hela nyingi.
M Middle JF-Expert Member Feb 7, 2007 244 7 Oct 31, 2007 #6 vipi uyo kocha wa taifa stars keshataja majina ya team ta Taifa? tupeni list