Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 51
Jana wakati muheshimiwa anaendelea kuliadithia bunge,si ikabidi afute kijijasho kilichokuwa kikimtoka kwa kutumia lesso yake,EBOOO,SIKUAMINI MACHO YANGU,NIKAJIKUTA MANENO HAYA YANANITOKA"KUMBE MUHESHIMIWA KIKWETE KWELI YANGA" Lessso ile ilikuwa hata doa haina,njano tupu.Sa sijui ni kweli alikuwa anasweti au ndo alikuwa anataka kutuonesha sie simba kwamba yeye yanga,si kuna viyoyozi mule bungeni.