kweli kanumba ni superstar levo ya nyota tano TZ

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,851
6,201
Wadau poleni sana,

Kusema ukweli mi ni mmojawapo wa watu tuliokuwa hatumkubali kanumba kwamba yupo juu kiasi hiki lakini nimekubali,
Yaani barabara hazipitiki, traffic na FFU wa kumwaga, amekufa complex, nasma khamis, na wengineo but sikutegemea kama msanii wa movie za camera moja anakubalika kiasi cha kuitingisha chi nzima kwa kifo chake, hapo kina profesa jay, ay na wengineo nazani wanajifunza kuwa kanumba alikuwa kiboko, hadi tandahimba, ng'ope, mperampera, nanjilinji watu kanumba kanumba, kusini, kaskazini, pemba na unguja kila mtu kanumba, jamaa kweli ametisha, from now I rank him as a number one artist superstars in Tz kina Ay mbwembwe tu
 
Hao kina AY unaosema ni mbwembwe tu nao wamekufa ukaona kifo chao kilivyopokelewa?

Kanumba kapata coverage kubwa kutokana na asili ya kifo chake. . .angekua amefariki baada ya kuugua malaria ingekua story nyingine kabisa.
 
Umetumia akili kumjibu!
 
Ukisikiliza ule wimbo wake verse ya mwisho as if he knew kifo kilimkaribia. Mungu ampumzishe kwa amani.
 
word................

Hao kina AY unaosema ni mbwembwe tu nao wamekufa ukaona kifo chao kilivyopokelewa?

Kanumba kapata coverage kubwa kutokana na asili ya kifo chake. . .angekua amefariki baada ya kuugua malaria ingekua story nyingine kabisa.
 
Hao kina AY unaosema ni mbwembwe tu nao wamekufa ukaona kifo chao kilivyopokelewa?

Kanumba kapata coverage kubwa kutokana na asili ya kifo chake. . .angekua amefariki baada ya kuugua malaria ingekua story nyingine kabisa.

Lizzy!nakupendaga majibu yako!
 
Lulu ndo amesababisha coverage iwe hivyo na pia wengi wameenda kushangaa ilikuwaje akawa na mtoto ndani ya nyumba usiku
 
we ndio unajua ni mtoto,kakwambia nani mtoto anatembea sa nane usiku?mtoto anapigiwa simu za mapenz sa 8 usiku,mtoto anakunywa JD?Kweli we poyoyo!
 
Back
Top Bottom