Jamesmkude
Member
- May 18, 2015
- 60
- 69
Hizi picha za hii shule zinaonyesha wamejipanga vizuri sana. Prf Ndalichako na team yako mna safari ndefu ya kuweza kuwapa watoto wetu wanao soma shule zetu za Serikali kusoma ktk mazingira haya.
uPicha hazifunguki
Nambie binam yanguBinam
u
binamu...upo...?? upo salama?Nambie binam yangu
Salama salimini binam yangu, waonaje hali yako lknbinamu...upo...?? upo salama?
Usitokwe povu mkuu, shule inayoweza afford aina hiyo ya usafiri watashindwa kuwa na Computer room na Laboratory za kiwango hicho cha kwenye picha?Acheni upotoshaji hizi picha sio kaizirege, hizi ni picha za shamsiye boys shule ya waturuki iko mbweni dsm, labda hayo mabasi tu kwenye picha zinazozunguuka kwenye mitandao
Sasa nani katokwa na povu kama sio wewe, ishu sio ku afford ila picha sio zenyewe na tumetoa usahihi wa picha na sio kusema Kaizirege haiwezi kuwa na dorm rooms, computer lab na laboratories za aina hiyoUsitokwe povu mkuu, shule inayoweza afford aina hiyo ya usafiri watashindwa kuwa na Computer room na Laboratory za kiwango hicho cha kwenye picha?