omg,,,,u have to trust her the way she loves u ndo maana mapenzi ya sasa hua hayadumu wallah si kwa wakike wala wakiume only thing u have to do for both of u to trust each other no way out,,,nawaombea mapenzi ya kheyr na yenye barka,,,
omg,,,,u have to trust her the way she loves u ndo maana mapenzi ya sasa hua hayadumu wallah si kwa wakike wala wakiume only thing u have to do for both of u to trust each other no way out,,,nawaombea mapenzi ya kheyr na yenye barka,,,
Muamini mwenzio kaka. Wala haina haja ya kumchunguza chunguza. Bata ukimchunguza sana..?
Ikiwa unampenda na yeye kasema anakupenda INATOSHA. Hilo la kuwa pamoja naye litazidisha mapenzi yenu, lakini tafadhali, jaribu kumwamini bila ya kumchunguzachunguza, si katika simu yake, mkoba wake wala emails zake. Kumbuka kuwa "atafutaye hakosi" na wewe kama utaanza kumtafutafuta hutakosa kasoro zake, lakini yoyote utakayoyaona yatatokana zaidi na kutomwamini kwako kuliko ukweli wenyewe. Kumbuka kuwa kutoaminiana na wivu ni adui wa mwanzo wa mapenzi. Kadiri atakavyohisi kuwa unamwamini ndipo atazidi kukupenda kuliko kuanza na mguu mbaya tangu mwanzo kwa wivu na upekuzi wa kipuuzi. Mwachie uhuru wake ili kulinda uhuru wako na nyote lindeni mapenzi yenu.kuwa nae karibu kila wakati ukimaliza kazi ofisini, week end n.k ukifanikiwa kwa hilo angalia simu yake kama iko muted, au anazima au hapokei simu zingine nk.
ila umenishangaza kuonyesha kama humwamini
nashukuru sana mpendwa kwa sala zako na mwenyezi Mungu akujalie
Najua ndugu bata ukimchunguza humli lkn huoni kwamba nisipochunguza zaid mtu ambaye nategemea kumuona nitakujalia?