Kweli huu ni Mwaka wa Mabadiliko: Jionee mwenyewe...!! Dr. Slaa..the President Elect | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli huu ni Mwaka wa Mabadiliko: Jionee mwenyewe...!! Dr. Slaa..the President Elect

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Brooklyn, Oct 27, 2010.

 1. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Watanzania tuliofikisha umri wa kupiga kura na ambao tumejiandikisha kupiga kura, tafadhali tusiwaangushe hawa watoto ambao ni taifa la kesho kwa kumchagua Jakaya Kikwete na CCM ambao wamethibitisha kwa maneno yao wenyewe kwamba HAWAJUI KWA NINI TANZANIA NI MASKINI...KWA HIVYO HAWANA MAJIBU WALA MBINU MUAFAKA ZA KUWALETEA MAENDELEO WATANZANIA!!
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  wanajua nini hawa?
   
 3. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Tuanze kuwaingizia mawazo ya Ukombozi
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,840
  Trophy Points: 280
  Hayawi yawi huwa...................................Welcome the fifth, new president of the United Republic of Tanzania......His Excellency Wilbard Peter Slaa...........to the inauguration of your OWN PRESIDENCY ............here at the National Stadium of Dar-Es-Salaam ..............
   
 5. M

  Magehema JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Future voters...
   
 6. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,666
  Likes Received: 21,890
  Trophy Points: 280
  Wanaweza kuwa hawajui ila kama binadamu wana hisia. Wakishinda na njaa wanajua something wrong somewhere, akiugua na kupelekwa zahanati na dawa zikikosekana atatambua something wrong kutokana na sura ya mama yake kukosa matumaini.
  Akimona baba/mama ameshika hiyo bendera na sura yake inaonyesha matumaini, naye pia anajua kuwa matumaini yako katika bendera hii. Hata kama matumaini yenyewe hayaelewi ni yapi,akiumwa au akiwa na njaa. PENGINE WEWE NDIYE HUJUI
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  holy crap... how can one be proud of using inoocent minds without their knwoledge? kuna tofauti gani sasa ya hii picha na zile za ccm kuwakusanya watoto kwenye kampeni??

  GUYS, LETS GET BACK TO OUR SENSES... KUCHAMBA KWINGI.....
   
 8. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Safi sana,waanze kujifunza namna ya kukomboa nchi yao kutoka kwenye dimbwi la ufisadi, kama sisi baba na mama zao tutashindwa!!
   
 9. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hawa mbona wanaonekana wanatoka kwenye familia bora afya hiha! Ushindi wakishindo huo! Kama wapiga kura ni hawa!
   
 10. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  You are very right, lakini picha uliyotumia haina nguvu ya kutosha ku support hoja yako, pengine watoto hao hawajui hata kama hiyo ni bendera, achilia mbali kuwa ni ya Chadema (mkombozi) so next time dont use that picture, CHANGE IS COMING TO TANZANIA
   
 11. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Tuitikie kilio cha watoto
   
 12. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  huree..!!
   
 13. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135

  Utu ni taasisi pana! Taasisi ambayo ndio uti wa mgongo wa maendeleo ya mtu na jamii yake.

  Alikuwa JK Nyerere peke yake na sasa, Dr W Slaa ... aliyekuwa anadhubutu Kuusemea Utu na kuuweka kama kigezo cha ustawi wa Taifa!

  Bila Utu, ambao ndiyo asili ya Mtu, maendeleo yote hayana maana yoyote! Yanakuwa ni maendeleo ya vitu! Ni utu kwanza...uwe chimbuko la demokrasia na maendeleo ya Taifa.

  Utu ni Uungu ndani mtu, hatuwezi kuusaliti tukabaki salama kama watu... lazima utu kutangulia kila nyanja ya jamii bila hivyo hicho kinachoitwa ustawi, maendeleo na demokrasia vinakuwa havina maana.

  Maendeleo ya Utu ndio yatawale maendeleo na ustawi wa jamii na taifa, na si maendeleo ya vitu bila kuujali, kuujenga na kuuendeleza utu.

  Kitaalam: Utu unanyaushwa, kuharibiwa na kuangamizwa na UFISADI.

  Kiua Utu ni Ufisadi. Kauli mbiu ni Utu Kwanza na Si ufisadi Kwanza.

  Utu unarutubishwa na haki, upendo, maadili ya uongozi bora, kuheshimiana, haki na usawa wa pato la taifa, matumaini, ukweli, ujasiri na si ukatili, uimara wa kusimamia na kutetea sauti ya umma, utambuzi wa dhana nzima ya utu na kuwaongoza watu kuelekea kilele cha utu wao kama ukombozi wa mwandamu.

  Ni Kweli na hakika: CCM na Kikwete wameutupilia mabali Utu ulioasili ya Mtu na kukumbatia kwa kiwango cha kutisha cha Ufisadi. Nani mwenye utu kamili anabishia hili?

  Baada ya CCM na Kikwete kusaliti asili ya mtu, kinachofuatia nchini ni Mgawanyiko na Matabaka kwa Taifa. Mgawanyiko na mtabaka hayo vinazaa Udini, ukabila, kuimarisha, ujinga, dhuluma, maradhi nk. Kisa? Utu umewekwa kando, tumeutwika Ufisadi na sasa tumeisaliti asili yetu kama binaadamu. Na kama utu haupo ...ina maana tunatawaliwa na kinyume cha utu...ambacho ni unyama ndani ya Mtu, yaani ufisadi... Na usiombe kuishi ndani ya jamii au Taifa kama hilo! Nani haoni kiama kinachoweza kufuatia hapo?

  CCM na Kikwete wana Utu na misingi yake ya kujibu hoja hii? Labda kwanza wawafilisi Mafisadi Papa Kumi (Kumi na Moja) waliowekwa hadharani tayari… Vinginevyo wakati wa kuichai nchi ni sasa!

  Kwa kuwa CCM badala ya kupunguza maadui wa ustawi wa maendeleo ya jamii ya watanzania kutoka kuwa wa nne, sasa wanawajenga na kufikia sita. Yaani Ujinga, Maradhi, Umasikini, Ufisadi(Dhuluma), Ukabila na Udini.


  Tunahoji: CCM na Kikwete wanacha kujitetea kwenye hili? Mna Utu na Ubinaadamu wa kuhitaji kuliongoza kwa hekima, utulivu na amani Taifa hili kwa kipindi kingine cha miaka mitano? ....Tuwasikie
   
 14. O

  Obama08 Senior Member

  #14
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This pics touches my spirit, heart, mind, senses, i felt suddenly sad & pain
  mungu iangamize CCM period, destroy them, these are devils, zimwi likujualo halikuli likaisha, yaani CCM inatunyonya bila mwisho, tumia kura yako to kick them out
  Dr Slaa is only serviour, tunaweza kuingoa CCM
   
 15. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  hiyo picha inanikumbusha siku moja nilipowakuta watoto wa darasa la tatu shule ya msingi gangilonga iringa walipokuwa wakibishana eti nani mwenyekiti wa chadema kati ya freemani mbowe na dr slaa. Eti nao wanasikitika eti kwa nini hawapigi kura kumchagua silaa.
   
 16. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160

  :nono::nono:Mkuu tofauti ipo kubwa sana!! zile za CCM walilazimishwa hivyo haikuwa hiari yao, ila hawa wapo ktk mazingira ya utulivu na wametulia nyumbani bila kulazimishwa bila mishikemishike!
   
 17. u

  urasa JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hata cuba watoto wadogo wanafunzwa kuwa wazalendo kwa kufundishaw salamu inayosema:comos ramo chev yaani i wish to be like cheguavara mwana harakakti,waache hao watoto wakumbatie hiyo bendera ili kuwajengea fikra za kiuwanaharakati wakapambane na wakina khalfan kikwete
   
Loading...