Kweli huu ndo msaada wa elimu zetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli huu ndo msaada wa elimu zetu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Negative, Dec 28, 2010.

 1. Negative

  Negative Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimewahi kufanya kazi kwa kipindi fulani katika Hospital ya Muhimbili, nikiwa pale nilikuwa nikisikia habari ambazo ni ngumu kidogo kuzirasimisha kutokana na unyeti wake.
  Kuna daktari mmoja ambaye pia ni proffessor wa taaluma hiyo ya uuguzi, mtu huyu hutumia pesa zake na nafasi aliyonayo kurubuni wanawake halafu wakifika kwenye uwanja wa kuisaliti ndoa yake yeye hutumia spirit kwa kupaka ili kuua wadudu kwenye K, hali hii inasemekana husababisha maumivu makali sana sehemu hiyo pale inapotokea kuna michubuko ya aina yoyote.
  Je, ndiyo musema tumebuni njia mpya ya kujikinga na Ukimwi ama ni kiburi cha pesa..?
   
 2. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kiburi cha pesa hicho,,,,,, yaani mh subhanallah!!! kwanini we hukumsemea kwa mkewe akapewa kisomo kidogo,,,
   
 3. Negative

  Negative Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo ya ndoa ni vigumu kidogo kungilia dada yangu, kilichoniuma ni namna tu anavyodhalilisha dada zetu, makali ya spirit ndani ya k, sijui wenye nazo mnasemaje, hebu nipe hali halisi ili kama ni fresh nami niachane na Kondom, nadhani hata sperm zitapita zimekufa..
   
Loading...