Kweli Humphrey Polepole ni Taasisi tena Taasisi kubwa sana na yenye nguvu kubwa na ina uwezo mkubwa wa kufanya lolote wakati wowote

Pole Pole ndio msemaji rasmi wa Sukuma gang kwa sasa.
Analipwa kwa ile kazi, na Msoga gang wakimpa dau kubwa zaidi anageuka tena. Ni dalali fulani wa kuuza siasa kwa maneno, sio mtu wa kumshabikia sana au kumwamini sana.

Pole Pole hana tofauti yoyote na Haji Manara, kazi yao ni kuongea kwa niaba ya taasisi zinazowalipa.
Je alicho ongea hakina mantiki?
Je hii tanzania ni ya kuomba omba miaka sitini tumepata uhuru huku taabu ni zetu kila kukicha ni bora ya jana je ni sawa?

Polepole anaweza asiwe na uzito wa kuyasimamia mambo yake na je wewe uliye yapokea hutaki kuyaelewa na kuyafanyia kazi?
Tanzania lini mtaamuka?

Enzi ya kikwete ilishapita na ya magufuli imepita sasa twende mbele zaidi kuliko hao wote ili nchi ipae na kurudisha hadhi yake na sio kurudi nyuma.
 
Mkuu umeandika pumba nyingi tu. Kuna watu wanao muda wa kupoteza lakini ni muda huu huu watu wengine wanautumia kutengeneza mabilioni ya pesa.

Machinga kuuza chakula pale posta mpya kwa akili yako ni jambo jema tu, huoni kuwa wanatupa mabaki ya vyakula ndani ya mitaro na kuacha harufu kali yenye uhusiano wa moja kwa moja na kipindupindu?. Huoni kuwa uchafu unaozalishwa hapo unaleta magonjwa mengi tu.

Haiwezekani kila sehemu ikawa ni maalum kwa kufanyia biashara, hiyo ni vurugu mechi ya kiwango cha juu, ni lazima miji ipangwe na ustaarabu uonekane kuwepo.

Cha kukumbuka ni kwamba JPM hayupo tena duniani, hivyo baada ya Mama Samia kuapishwa pale Ikulu rasmi ikaanza awamu ya sita, upende au usipende akishaapishwa tu rais mpya anakuja na team yake ya wasaidizi wake hivyo huwa ni mwanzo wa awamu nyingine.

Mpumzisheni JPM ameshafariki dunia, hawezi tena kujitetea.
 
WANA CCM: KWELI HPP NI TAASISI...

Majibu kwa Thadei Ole Mushi na wakereketwa wengine.

*Wana CCM, sijui wana UVCCM povu linawatoka sana kwa hoja za HPP badala ya kujibu kwa hoja au kwa vitendo vitakavyorudisha imani na amani kwa Watanzania. Mnaparama awajibishwe na chama, serikali kwa kosa lipi!?.

1. Polepole sio Mtu Bali ni taasisi nyuma yake Kuna watu sio mmoja

Jambo msilolijua ni kwamba HPP ( High Pressure Processing) ni TAASISI YA WATANZANIA WANAOKATAA WAHUNI.

NB: Mhuni ni mtu yeyote anayefanya mambo bila kufuata utaratibu maalumu unaokubalika kwa jamii au kinyume na makubaliano, kwa lengo la kujinufaisha yeye binafsi au kikundi chake. (Posti ya Mhuni 1 anayewashwawashwa inaonesha chama au serikali ni mali yao)

Muhuni anaweza kuwa uraiani au serikalini ila wahuni wabaya zaidi ni wale wa serikalini, wameaminiwa na wananchi kusimamia hatima ya Maisha yao ya kesho lakini wao hawajali taifa wanajali matumbo yao, wanatukuza Mabeberu kwa sababu ya 10%

Raisi alisimamia utiaji saini wa mkataba wa Kampuni ya ukarabati wa Meli tano kumbe kampuni hiyo ni hewa,(Uhuni huo), Tena mama anapaswa ajue wahuni wanamuharibia muelekeo.

Umeme unakatika hovyo wakati Watanzanoa tulishasahau. Kama tatizo ni kina cha maji kupungua, tunahitaji mikakati na utekelezaji siyo mapichaX2 na kumsema tuu! marehemu.

Wahuni badala ya kushughulika na changamoto za wananchi wanakuja kutuambia kuwa Serikali ina wenyewe, ni Uhuni mtupu.
Watanzania wa saivi wanajitambua, wanataka mabadiliko, wanataka rasilimali zao zitumike kwa manufaa yao, wanataka mikataba ya leo ilete Tanzania mpya yenye watu wanaotibiwa na serikali tuishi kama wananchi wa UAE maana sidhani kama Dubai wanatuzidi rasilimali, shida ni usimamizi.

Mchungaji Lusekero anasema mnasaini mikataba ya kibwege na ya kilofa.

Naungana na wewe kusema HPP ni taasisi ya Watanzania wenye kukataa wahuni Tanzania #Kataaawahunitz. Watanzania ambao awamu hiyo ya 5 kila kukichwa inasemwa, inasingiziwa badala ya wao kuja na mikakati mipya na kutuaminisha wanachotaka. (*NI UTARATIBU MPYA WA KUMSEMA, KUGOMBANA NA KUMUAGUSHIA JUMBA BOVU MAREHEMU. WATANZANIA HATUTAKI MANENO TUNATAKA KAZI, MAENDELEO, MABADILIKO

2. Bado Polepole na Taasisi yake au walio nyuma yake hawaamini Serikali hii. Ndio maana anasema kuwa Machinga wameonewa nk.

Awamu Bado ni ya 5 ila Serikali ina raisi wa 6, kuwaondoa wamachinga barabarani ni usaliti kwa sababu wameruhusiwa na kurasimishwa kwa vitambulisho katika awamu hii hii, Serikali tunaiamini ila watendaji wa serikali ndiyo hasa hatuwaamini.
Kama waziri anasema hatupaswi kuingiza sukari toka nje kwa sababu tuna stoko ya kutosha. Mwingine anasema Ingiza (none sense). Kipi tunakiamini au wewe unaona hakuna contradition hapo)*

Umewahi kuwa machinga, ulikuwa au unaishi kwa kufanya umachinga?

Unajua maumivu na majeraha waliyoyapata kwa sababu ya kuwavunjia vibanda vyao, tena usitukumbushe machungu ya familia zetu zilivyoteseka, kuadhirika kwa sababu ya utaratibu mbovu wa kusafisha mji

Unadhani maisha yao wakati wanalipa ushuru wa 20K kwa mwaka na sasa yapi mazuri? Unadhani wamachinga wangapi wameumia, wameathirika kisaikolojia kwa kuvurugiwa mpangilio wa maisha yao.

3. Polepole anaelekeza, anakaripia, anaonya, na anatisha. Refer alivyokuwa anawajibu TCRA....

HPP kuwaeleza TCRA yuko sahihi tena ni MUUNGWANA na si MUHUNI. Kama kaweza kulipia milioni moja na sehemu kwa ajili ya kurusha maudhui. Kwa nafasi yake ya uongozi angekuwa WAHUNI angefungua You Tube yake kibishi bila kufuata utaratibu. Kama ambavyo Kigogo alifungua na kutumika kuwatukana viongozi, kuvujisha siri za serikali na nchi. Lakini TCRA walikaa kimya na wala hawakuweza kumzuia, kuifunga social media zake na kibaya hata hiyo hela ya ujasili hawajawahi kupewa. Lini TCRA wamewahi kum detect KIGOGO.! Akili za kuambiwa Changanya za)

4. Polepole anaamini kuwa hakuna kijana wa Umri wake mwenye uwezo kama yeye (Akili). Huenda ni Kweli au ni uongo tutalijadili hili siku nyingine.

Ni kweli kwa zama hizi na baada ya Hayati Magufuli Hakuna MWANACCM mwenye uthubutu wa kusimamia ukweli na mwenye uzalendo. Maana wengine mmewapiga mkwara. Askofu Gwajima, Jerry Slaa, Dada Tanzania na wengineo. Humphrey Polepole, Dada Tanzania ni chachu kwa vijana wa CCM. Mwl Nyerere alisema: "MABADILIKO YA KWELI YATATOKA CCM KWENYEWE"

HPPni kijana mbunifu kwa kuleta shule ya uongozi ambayo haipo kwny mitaala. Tunahitaji viongozi wenye maono ya miaka 50 nakuendele siyo wahuni wenye kupenda tu.

Kama kweli masharti ya mkataba wa bandari ya Bagamoyo yatabaki kama tulivopata kuyajua kipindi cha JPM basi baada ya miaka hamsini tutakuwa na Tanzania yenye sehemu ambayo:

1. Ni nchi ya china ndani ya Tanzania 😭😭😭
2. Wajukuu zetu watakuwa wakipita sehemu hiyo kwa bahati mbaya wanapigwa risasi maana wameingia sehemu ya nchi nyingine kama enzi za Makaburu south Africa.😭😭*

Kwani hamjui Madhara ya kusaini mikataba ya kihuni ni makubwa Sana siyo kwetu tu bali kwa watoto wetu na wajukuu wetu leo kesho na kesho kutwa.
Mkataba wa Mafuta uliosainiwa na Raisi wa Nigeria ndiyo unaowafanya wananchi wake waishi maisha magumu wakati huo huo mkataba wa hayo hayo Mafuta uliosainiwa Dubai ndiyo unawafanya wananchi wa Dubai kuishi maisha mazuri ya kulipiwa Hadi Mahari ya kuoa.

*HPP ni taasisi ambayo haitaki ugomvi na serikali au chama chochote ila inahitaji haki, usawa Kuona Mafisadi wanawajibishwa, pia HPP ni taasisi ambayo imeweza kuwafumbua wananchi macho, kuwafanya kujua unaweza kuwa kiongozi na ukawa Muhuni, vijana waliaminishwa kuwa kiongozi hakosei na wala hakosolewi. Na Uhuni unakuja kujidhihirisha kwenye mambo kama yafuatayo.

1.Aliyesema kuwa Milango ya tani 26 kwenye mradi wa Umeme Rufiji hauwezi kubebwa na crane tani 60, 90,130, 200 zilizopo kwenye mradi hadi WAKODI CRANE TOKA NJE, ni Uhuni mkubwa na Uhuni huu unatengeneza mazingira ya upigaji na kuchelewesha mradi huku wananchi wakiteseka na mgao wa umeme.

2. Aliyeshindwa kuhoji mradi wakati hayati JPM yupo hadi amesubiri AMEUAWA NA WAHUNI ajifanya naye kidume. (Zile kilomita 2.kadhaa za kufunga safari KWENDA KUOMBA MSAMAHA NAJUA HUPENDI ZIJIRUDIE KICHWANI MWAKO)

Mhuni ni yule anayetaka mradi wa bwawa la umeme usitishwe kwa sababu kumekatwa miti mingi, ni Uhuni uliopitiliza, sawa tu na hoja ya vyura wa kihans, kwani sisi shida yetu ni umeme au vyura?

3. Ambao wanatuambia umeme na maji vitakuwa vya mgao ili waweze kuuza majenereta yao na vituo vyao vya mafuta vipige pesa, ni Uhuni!

4.Aliyesema Mradi wa Bandari ya Bagamoyo haukuwa na mkataba, inamaana aliyeenda kuzindua alizindua bila mkataba, huo ni Uhuni na tutatumia neno hili hili la Humphrey Polepole la Uhuni mpaka Wahuni waache Uhuni wao, wananchi wafaidi rasilimali zako.

*Wakongo wanahangaika na kutafta ziriki kwa kujidhalilisha jukwaani, mtu mzima na mvi zake ananengua mbele ya watu apate riziki wakati Mungu kawaweka kwenye ardhi yenye kila utajiri, haya ni madhara ya mikataba ya kihuni iliyosainiwa na viongozi wao.

Wahuni wakamuua JPM, Patrice Lumumba na kufaidi ten percent huku raia wakiishi maisha ya kinyama, hawezi kula mpaka ashike bunduki aingie kwny kikundi kimoja cha uasi.

Viongozi wapo miaka yote na wanahudhiria sherehe mbali mbali na viongozi wenzao wa nchi zingine hata hawawezi kukosoana.
Humphrey Polepole anatufundisha vijana wa CCM na viongozi wa serikalini kujifunza kukosoana, na tukiweza kukosoana sisi kwa sisi, tutaanza kukosoa hata majirani zetu na africa nzima kwa ujumla itajitambua na kufaidi mali zake.

Mfano; Mh. Kabudi aliweza kuwakosoa wakenya na akawaambia kabisa nyie wakenya msingekuwa wakabila, Mngekuwa mbali zaidi ya hapa kimaendeleo. aliweza kufanya hivo kwa sababu sisi huku Tanzania kwa kiasi kikubwa tumeshalimaliza swala la ukabila hasa kwa juhudi za Mwalimu JK Nyerere, enzi hizo ukifaulu kuingia Kidato cha kwanza lazima upelekwe mikoa ya mbali ili uchanganyike na makabila mengine uache ukabila, ikibidi upate na mchumba huko huko.
Kikundi cha wahuni hiki.
 
Watu wengi hawamjui Polepole kiundani. Wangejua uchafu aliokuwa akiufanya wakati wa awamu ya 5, na alivyokuwa akiratibu shugjuli za wasiojulikana kwa kushirikiana na Bashite, hakika, hivyo vikao vyake angeweza kupopolewa hata kwa mawe.

Shetani, anajidai eti ni mkristo mwenye siasa kali, mlokole.

Kuna mstari mdogo sana baina ya Polepole, Bashite na Sabaya. Siku moja siri zote zitakuwa wazi. Huyu ndiye aliyekuwa akifikisha majina ya wasiotakiwa kwa akina Bashite kwaajili ya kufanyiwa kazi. Ama unakubali kuunga mkono, au unapotea, kufilisiwa au kutengenezewa kesi za kubumba.

Hali yake ya kuchanganyikiwa sasa, zaidi inachangiwa na hofu kuwa baada ya wenzake, akina Sabaya kuguswa, huenda yeye mtoa maelekezo naye atafikiwa.

Tunzeni maneno haya, kama si leo au kesho, kuna siku Polepole atatakiwa kujibu na kulipia uovu wake.
 
WANA CCM: KWELI HPP NI TAASISI...

Majibu kwa Thadei Ole Mushi na wakereketwa wengine.

*Wana CCM, sijui wana UVCCM povu linawatoka sana kwa hoja za HPP badala ya kujibu kwa hoja au kwa vitendo vitakavyorudisha imani na amani kwa Watanzania. Mnaparama awajibishwe na chama, serikali kwa kosa lipi!?.

1. Polepole sio Mtu Bali ni taasisi nyuma yake Kuna watu sio mmoja

Jambo msilolijua ni kwamba HPP ( High Pressure Processing) ni TAASISI YA WATANZANIA WANAOKATAA WAHUNI.

NB: Mhuni ni mtu yeyote anayefanya mambo bila kufuata utaratibu maalumu unaokubalika kwa jamii au kinyume na makubaliano, kwa lengo la kujinufaisha yeye binafsi au kikundi chake. (Posti ya Mhuni 1 anayewashwawashwa inaonesha chama au serikali ni mali yao)

Muhuni anaweza kuwa uraiani au serikalini ila wahuni wabaya zaidi ni wale wa serikalini, wameaminiwa na wananchi kusimamia hatima ya Maisha yao ya kesho lakini wao hawajali taifa wanajali matumbo yao, wanatukuza Mabeberu kwa sababu ya 10%

Raisi alisimamia utiaji saini wa mkataba wa Kampuni ya ukarabati wa Meli tano kumbe kampuni hiyo ni hewa,(Uhuni huo), Tena mama anapaswa ajue wahuni wanamuharibia muelekeo.

Umeme unakatika hovyo wakati Watanzanoa tulishasahau. Kama tatizo ni kina cha maji kupungua, tunahitaji mikakati na utekelezaji siyo mapichaX2 na kumsema tuu! marehemu.

Wahuni badala ya kushughulika na changamoto za wananchi wanakuja kutuambia kuwa Serikali ina wenyewe, ni Uhuni mtupu.
Watanzania wa saivi wanajitambua, wanataka mabadiliko, wanataka rasilimali zao zitumike kwa manufaa yao, wanataka mikataba ya leo ilete Tanzania mpya yenye watu wanaotibiwa na serikali tuishi kama wananchi wa UAE maana sidhani kama Dubai wanatuzidi rasilimali, shida ni usimamizi.

Mchungaji Lusekero anasema mnasaini mikataba ya kibwege na ya kilofa.

Naungana na wewe kusema HPP ni taasisi ya Watanzania wenye kukataa wahuni Tanzania #Kataaawahunitz. Watanzania ambao awamu hiyo ya 5 kila kukichwa inasemwa, inasingiziwa badala ya wao kuja na mikakati mipya na kutuaminisha wanachotaka. (*NI UTARATIBU MPYA WA KUMSEMA, KUGOMBANA NA KUMUAGUSHIA JUMBA BOVU MAREHEMU. WATANZANIA HATUTAKI MANENO TUNATAKA KAZI, MAENDELEO, MABADILIKO

2. Bado Polepole na Taasisi yake au walio nyuma yake hawaamini Serikali hii. Ndio maana anasema kuwa Machinga wameonewa nk.

Awamu Bado ni ya 5 ila Serikali ina raisi wa 6, kuwaondoa wamachinga barabarani ni usaliti kwa sababu wameruhusiwa na kurasimishwa kwa vitambulisho katika awamu hii hii, Serikali tunaiamini ila watendaji wa serikali ndiyo hasa hatuwaamini.
Kama waziri anasema hatupaswi kuingiza sukari toka nje kwa sababu tuna stoko ya kutosha. Mwingine anasema Ingiza (none sense). Kipi tunakiamini au wewe unaona hakuna contradition hapo)*

Umewahi kuwa machinga, ulikuwa au unaishi kwa kufanya umachinga?

Unajua maumivu na majeraha waliyoyapata kwa sababu ya kuwavunjia vibanda vyao, tena usitukumbushe machungu ya familia zetu zilivyoteseka, kuadhirika kwa sababu ya utaratibu mbovu wa kusafisha mji

Unadhani maisha yao wakati wanalipa ushuru wa 20K kwa mwaka na sasa yapi mazuri? Unadhani wamachinga wangapi wameumia, wameathirika kisaikolojia kwa kuvurugiwa mpangilio wa maisha yao.

3. Polepole anaelekeza, anakaripia, anaonya, na anatisha. Refer alivyokuwa anawajibu TCRA....

HPP kuwaeleza TCRA yuko sahihi tena ni MUUNGWANA na si MUHUNI. Kama kaweza kulipia milioni moja na sehemu kwa ajili ya kurusha maudhui. Kwa nafasi yake ya uongozi angekuwa WAHUNI angefungua You Tube yake kibishi bila kufuata utaratibu. Kama ambavyo Kigogo alifungua na kutumika kuwatukana viongozi, kuvujisha siri za serikali na nchi. Lakini TCRA walikaa kimya na wala hawakuweza kumzuia, kuifunga social media zake na kibaya hata hiyo hela ya ujasili hawajawahi kupewa. Lini TCRA wamewahi kum detect KIGOGO.! Akili za kuambiwa Changanya za)

4. Polepole anaamini kuwa hakuna kijana wa Umri wake mwenye uwezo kama yeye (Akili). Huenda ni Kweli au ni uongo tutalijadili hili siku nyingine.

Ni kweli kwa zama hizi na baada ya Hayati Magufuli Hakuna MWANACCM mwenye uthubutu wa kusimamia ukweli na mwenye uzalendo. Maana wengine mmewapiga mkwara. Askofu Gwajima, Jerry Slaa, Dada Tanzania na wengineo. Humphrey Polepole, Dada Tanzania ni chachu kwa vijana wa CCM. Mwl Nyerere alisema: "MABADILIKO YA KWELI YATATOKA CCM KWENYEWE"

HPPni kijana mbunifu kwa kuleta shule ya uongozi ambayo haipo kwny mitaala. Tunahitaji viongozi wenye maono ya miaka 50 nakuendele siyo wahuni wenye kupenda tu.

Kama kweli masharti ya mkataba wa bandari ya Bagamoyo yatabaki kama tulivopata kuyajua kipindi cha JPM basi baada ya miaka hamsini tutakuwa na Tanzania yenye sehemu ambayo:

1. Ni nchi ya china ndani ya Tanzania 😭😭😭
2. Wajukuu zetu watakuwa wakipita sehemu hiyo kwa bahati mbaya wanapigwa risasi maana wameingia sehemu ya nchi nyingine kama enzi za Makaburu south Africa.😭😭*

Kwani hamjui Madhara ya kusaini mikataba ya kihuni ni makubwa Sana siyo kwetu tu bali kwa watoto wetu na wajukuu wetu leo kesho na kesho kutwa.
Mkataba wa Mafuta uliosainiwa na Raisi wa Nigeria ndiyo unaowafanya wananchi wake waishi maisha magumu wakati huo huo mkataba wa hayo hayo Mafuta uliosainiwa Dubai ndiyo unawafanya wananchi wa Dubai kuishi maisha mazuri ya kulipiwa Hadi Mahari ya kuoa.

*HPP ni taasisi ambayo haitaki ugomvi na serikali au chama chochote ila inahitaji haki, usawa Kuona Mafisadi wanawajibishwa, pia HPP ni taasisi ambayo imeweza kuwafumbua wananchi macho, kuwafanya kujua unaweza kuwa kiongozi na ukawa Muhuni, vijana waliaminishwa kuwa kiongozi hakosei na wala hakosolewi. Na Uhuni unakuja kujidhihirisha kwenye mambo kama yafuatayo.

1.Aliyesema kuwa Milango ya tani 26 kwenye mradi wa Umeme Rufiji hauwezi kubebwa na crane tani 60, 90,130, 200 zilizopo kwenye mradi hadi WAKODI CRANE TOKA NJE, ni Uhuni mkubwa na Uhuni huu unatengeneza mazingira ya upigaji na kuchelewesha mradi huku wananchi wakiteseka na mgao wa umeme.

2. Aliyeshindwa kuhoji mradi wakati hayati JPM yupo hadi amesubiri AMEUAWA NA WAHUNI ajifanya naye kidume. (Zile kilomita 2.kadhaa za kufunga safari KWENDA KUOMBA MSAMAHA NAJUA HUPENDI ZIJIRUDIE KICHWANI MWAKO)

Mhuni ni yule anayetaka mradi wa bwawa la umeme usitishwe kwa sababu kumekatwa miti mingi, ni Uhuni uliopitiliza, sawa tu na hoja ya vyura wa kihans, kwani sisi shida yetu ni umeme au vyura?

3. Ambao wanatuambia umeme na maji vitakuwa vya mgao ili waweze kuuza majenereta yao na vituo vyao vya mafuta vipige pesa, ni Uhuni!

4.Aliyesema Mradi wa Bandari ya Bagamoyo haukuwa na mkataba, inamaana aliyeenda kuzindua alizindua bila mkataba, huo ni Uhuni na tutatumia neno hili hili la Humphrey Polepole la Uhuni mpaka Wahuni waache Uhuni wao, wananchi wafaidi rasilimali zako.

*Wakongo wanahangaika na kutafta ziriki kwa kujidhalilisha jukwaani, mtu mzima na mvi zake ananengua mbele ya watu apate riziki wakati Mungu kawaweka kwenye ardhi yenye kila utajiri, haya ni madhara ya mikataba ya kihuni iliyosainiwa na viongozi wao.

Wahuni wakamuua JPM, Patrice Lumumba na kufaidi ten percent huku raia wakiishi maisha ya kinyama, hawezi kula mpaka ashike bunduki aingie kwny kikundi kimoja cha uasi.

Viongozi wapo miaka yote na wanahudhiria sherehe mbali mbali na viongozi wenzao wa nchi zingine hata hawawezi kukosoana.
Humphrey Polepole anatufundisha vijana wa CCM na viongozi wa serikalini kujifunza kukosoana, na tukiweza kukosoana sisi kwa sisi, tutaanza kukosoa hata majirani zetu na africa nzima kwa ujumla itajitambua na kufaidi mali zake.

Mfano; Mh. Kabudi aliweza kuwakosoa wakenya na akawaambia kabisa nyie wakenya msingekuwa wakabila, Mngekuwa mbali zaidi ya hapa kimaendeleo. aliweza kufanya hivo kwa sababu sisi huku Tanzania kwa kiasi kikubwa tumeshalimaliza swala la ukabila hasa kwa juhudi za Mwalimu JK Nyerere, enzi hizo ukifaulu kuingia Kidato cha kwanza lazima upelekwe mikoa ya mbali ili uchanganyike na makabila mengine uache ukabila, ikibidi upate na mchumba huko huko.
Sijali kitakachotokea. Ninachoshukuru ni kwamba magufuli ni fund basi.kitendo cha kuruhusu watu wafanye biashara popote sio tu ni ulikuwa muhuni bali UJUHA uliopitiliza.
 
Kama ambavyo Kigogo alifungua na kutumika kuwatukana viongozi, kuvujisha siri za serikali na nchi. Lakini TCRA walikaa kimya na wala hawakuweza kumzuia, kuifunga social media zake na kibaya hata hiyo hela ya ujasili hawajawahi kupewa. Lini TCRA wamewahi kum detect KIGOGO.! Akili za kuambiwa Changanya za)
Hili niliwahi kulizungumza humu,

P.
 
Polepole anaongelea maswala yanayoisibu Tanzania na watanzania, labda kuongelea changamoto za nchi na wananchi awamu hii limekuwa ni jambo la kihalifu.
 
Hoja zake ni kweli zaweza kuwa na mashiko ila huyu jamaa alivyokuwa ana nunua viongozi wa upinzani kwa cash na ahadi za vyeo hapo alikuwa anatekeleza kanuni gani ya CCM.

Huwezi kuanza kurusha mawe huku mwenyewe unaishi lwenye nyumba ya biskuti.
 
WANA CCM: KWELI HPP NI TAASISI

Taasisi ilikuwa moja tu CCM ambayo ni Lowassa na alikuwa na watu wengi lakini alishindwa sembuse huyo polepole ambaye ameingia CCM juzi kwa upendeleo wa Rais Magufuri. Na naomba nikuambie kitu huyo polepole Hana watu wengi nyuma yake Kama mnavyo tishia anacho tafuta polepole ni political relevancy hakuna kitu kingine.
 
Mkubwa ndg.Polepole ?!!!!😳😳🤣🤣🤣

Are you a con man?!!!

Ndg.Polepole anajiongezea tu "kiki" ya KISIASA period!

#Siempre JMT
 
hamna kitu hapo. Huyo polepole wamepishana kimaslahi wote wahuni tuu hakuna cha polepole wala cha nani wote ni walewale tuu.
 
Nnape alipotaka kufanya press conference, mlitolea mguu wa kuku mbele ya halaiki. Yule kiongozi wa Malaika wa Chato badala ya kukemea lile tukio la uvunjifu wa amani, akakemea magazeti yaliyoweka fontpegi tukio hilo. Jana mlitaka azuiwe leo mpate habari. Pamoja na juhudi za kum underrate ila Mama anajielewa sana.
Hawa watu ni wajinga sana aisee
 
Leo Pole pole kawa shujaa.mnasahau mapema sana.
Alipokuwa katibu wa itikadi na uwenezi wa CCM alikuwa anasema anajenga chama.
Sasa awaache na wenzie wajenge chama.
Yake yamepita 2025 akalime
watu wabinafsi type hii wanatakiwa wawekwe mbali mara moja wakati yeye anatembelea V eitee YA Mwenezi..... nani alimzonga zonga ?
 
tuliokuja tukijua anaeongelewa ni baloz tusoma aya ya pili kumbe ni HPP NI High pressure processing 😄tujuane hapa
 
Taasisi imehamia Lilongwe, muifuate huko ila lazima mchanjwe kwanza.
 
Back
Top Bottom