Kweli hii ni dhambi.??? Soma MWANZO 38:8-10

Melvine

JF-Expert Member
Apr 3, 2013
697
1,301
ImageUploadedByJamiiForums1452757964.104840.jpg
 
Kumwaga mbegu nje si zambi. Yule alichokosea ni kukaidi kumpa mimba mjane wa nduguye
 
Omba Mungu akupe Hekima na busara wakati unaposoma maandiko matakatifu ,sio unachukua tu vimistari flani halafu unajenga hoja.
 
Tatizo wengine wanasoma biblia kama hekaya za abunuwasi au elfu lela ulela! Omba hekima kabla ili upate akili za utambuzi kwa kile unachokwenda kusoma!
 
Back
Top Bottom