Kweli Hawa ni wanawake mfano wa kuigwa Tanzania?

Mama yangu aliyenilea katika mazingira magumu vijijini kwenye umaskini titiri ndiye mwanamke wa kuigwa bana, hao uliowataja wote ni waajiriwa wanalipwa mishahara minono kwa kazi wanazozifanya.
 
Mama Nkya mbona hujamsalute wakati she is an exemplary citizen, good leader and has had a significant impact on the health of the nation through her work in morogoro. Wewe umekosea kabisa, unaangalia kichama zaidi. Ukweli ni kwamba nchi zetu hizi nafasi ya mwanamke bado haijawa inavyotakiwa.

Taratibu eeeh mwenzio kesha kwambia source ni gazeti la darleo, wewe unamlaumu utadhani yeye ndio kapanga hiyo list.
 
Mama salma kikwete siyo mfano wa kuigwa/ role model kwa kuwa yeye ni mama wa nyumbani na kujulikana kwake kunatokana na juhudi za mume wake kwenye medani za kisiasa, otherwise it is only few people who knew her before her husband became a president of this country. Sophia simba, hawa gbgsia, kombani.... wanaweza igwa in a negative way..
 
Sasa Kombani Celina mfano wa kuigwa kwa kipi?au umbumbumbu alio nao kwenye kupambanua mambo?huyu si ndio alisema katiba safi sana wala haihitaji mabadiliko yoyote
 
Back
Top Bottom