Kituku
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 238
- 24
Hivi hawa CUF wana nini jamani? nimeshangaa na kitendo chao cha kukimbilia viti vya Chadema mara tu Chadema walipoamua kutoka ukumbini, Hivi wanaringia nini huu umoja wa kitaifa ulioundwa Zanzibar, kwanini wanashindwa kuwa na stand yao ya kuwa ni upinzani milele... Ninachohisi mimi tayari yaliyofanyika Zanzibar ni kiini macho tu na kiujumla Jahazi litaendelea kuendeshwa na CCM milele, wataendelea kuwa ma-agent tu wa CCM, haiingii akilini kusema wao upinzani halafu wanayumbishwa na CCM, kwanini wasiungane na wapinzani wenzao???
Maoni yangu tu..
Maoni yangu tu..