Kweli hawa ni Ma-agent wa CCM?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli hawa ni Ma-agent wa CCM??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kituku, Nov 19, 2010.

 1. Kituku

  Kituku JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi hawa CUF wana nini jamani? nimeshangaa na kitendo chao cha kukimbilia viti vya Chadema mara tu Chadema walipoamua kutoka ukumbini, Hivi wanaringia nini huu umoja wa kitaifa ulioundwa Zanzibar, kwanini wanashindwa kuwa na stand yao ya kuwa ni upinzani milele... Ninachohisi mimi tayari yaliyofanyika Zanzibar ni kiini macho tu na kiujumla Jahazi litaendelea kuendeshwa na CCM milele, wataendelea kuwa ma-agent tu wa CCM, haiingii akilini kusema wao upinzani halafu wanayumbishwa na CCM, kwanini wasiungane na wapinzani wenzao???

  Maoni yangu tu..
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  I am against slavery simply because I dislike slaves.
   
 3. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wanajizoesha kuvikalia manake very soon watakuwa declared kuwa ndio official opposition party bungeni iwapo Chadema wataendelea na msimamo wao wa kutomtambua JK kama Rais wao.
   
 4. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  We hujui hawa wamekuwa CCM B. Waurumie tu. Kila wafanyalo ni kwa niaba ya baba zao CCM. Upinzani wameweka kando.
   
 5. Kituku

  Kituku JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Au kuna kitu wameahidiwa jamani?
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  kama wewe unavyojizoesha kulala kwangu kwani muda si mrefu nitakuoa pamoja na kwamba unanuka shombo.
   
 7. d

  dotto JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mapandikizi na walipanga na mafisadi wenzao.
   
 8. kmwemtsi

  kmwemtsi Senior Member

  #8
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kweli wewe kishongo, hata katiba ya nchi yako hujui, unafikiri kuwa official opposition party bungeni ni kwa namna hiyo:bump:
   
 9. C.K

  C.K JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Du! :target:
   
 10. Lenana

  Lenana JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 422
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  source please kukurupuka huku ndiko tunakupiga vita tlp 1 udp i nccr 4 na cuf 3 sijakurupuka kama unavyodhani nasema cuf 3 kwasababu vijijimbo vya uchaguzi zenji ni kama kata moja huku bara! Jimbo linakuwa na wapiga kura 4ooo,5000, au wasiozidi 7000 na istoshe wanaochaguliwa ni majuha! The have no qualificatins and they will not!
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  it doesnt work like that mkuu

  kasome tena
   
 12. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mod, matusi kama haya yalinifanya nishindwe kulala jana, nikawa naweweseka kama nimepigwa umeme.

  Tuwe wastaarabu kwenye forum.

  Hujanitendea haki.
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,125
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Wanatamani kuwa chama cha upinzani lakini hawawezi!
   
Loading...