kweli hali mbaya hadi vyoo vya kulipia stend havina wateja!

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,616
nilichoskia leo sikutarajia sijui ni njaa au nini?!
au watu wanajibana kwenda haja wasisikie njaa!wapige ndefu hadi jioni.
daahh jamaa analalamika toka asubuhi hadi jion anapata buku au buku 2 na ni stendi yenye mishemishe balaa ambapo mwanzo hata 50000 alikuw anapata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom