Kweli Elimu kwa watoto wa kike TZ in safari ndefu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli Elimu kwa watoto wa kike TZ in safari ndefu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Vumbi, Mar 17, 2011.

 1. V

  Vumbi Senior Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Taifa hata siku moja halitaweza kuwa na maendeleo kama wanawake watakuwa ni sehemu ya jamii ambayo haina elimu. Nasema hivyo kwa sababu wanawake ndio wanafanya sehemu kubwa ya malezi ya watoto na familia. Hebu angalia kiasi cha wasichana walio jiunga kidato cha tano hapa chini

  “Wanafunzi 36,366 ambao ni asilimia 98.31 ya waliokuwa na sifa stahili wamepangwa kidato cha tano na vyuo vya ufundi, kati yao wasichana ni 11,210 sawa na asilimia 100 ya wenye sifa na wavulana ni 25,156 ambao ni asilimia 97.58 ya wanafunzi wenye sifa,” .
  Wanafunzi wa kike waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo vya ufundi ni asilimia 30.83 ya wanafunzi wote 36,366 waliopangwa.

  Hivi uviano wa 30:70 ni sawa kweli? kweli hii serikali inajua madhara ya wanawake kutopata elimu?
   
 2. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Lakini mkuu si unaona 100% ya wasichana waliokuwa na sifa wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano...kwa maana nyingine wasichana wote waliokuwa na sifa walichaguliwa, ila kuna wavulana waliokuwa na sifa hawakuchaguliwa! Sasa hao wengine wa wa kuongezwa hapo ili kuwe na uwiano watatoka, labda kama unashauri wachague mpaka wasichana wasikuwa na sifa!
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu sio rahisi kabisa kukubaliana na hayo maoni yako. Wasichana wamependelewa hapa! yaani wale wote waliopata kuanzia div 1 mpaka 3 wamechaguliwa regardles hizo combinenga zimekubali au la. Wavulana sio wote! Tujiulize kwa nini wote waliofaulu kwa alama zile zile wasichukuliwe wote bila kubagua jinsia?.
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mbona ni mwendo mzuri tuu, ukimwelimisha 1 ni sawa na umeelimisha 10.
   
Loading...