Kweli dunia tunapita. Huwezi amini enzi za Polepole, Makonda na Bashiru zimepita kama umande

Polepole? Andika ukutani jina hili ni Kama mbegu inayozama chini ya ardhi,unafikiri imepotea,baada ya siku nyingine unaiona inaibuka Tena.
Huyu ndiye .......ajaye siku za usoni.
 
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka Polepole anayepigia Wakuu Wa Wilaya, Mikoa mpaka IGP simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote .

Polepole aliwahi kutamba kwamba ana koneksheni kubwa dah maisha haya.

Makonda akiwa kileleni baba Keagan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.

Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.

Kuna la kujifunza.

Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
Una MAANA hawa JAMAA?
Screenshot_20210606-193442_Twitter.jpg
JamiiForums1279005287.jpg
 
Ubabe wa Bashiru na Makonda ulitegemea sana uwepo wa mwendazake.
Walimtegemea kiumbe mwenzao.
Polepole tumsamehe bure utoto ndio ulimsumbua.
duh kama Polepole mtoto basi wengine hatujazaliwa bado. Jamaa keshazeeka mpaka sura inatoka magamba bado mnasema mtoto
 
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka Polepole anayepigia Wakuu Wa Wilaya, Mikoa mpaka IGP simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote .

Polepole aliwahi kutamba kwamba ana koneksheni kubwa dah maisha haya.

Makonda akiwa kileleni baba Keagan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.

Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.

Kuna la kujifunza.

Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.

Hata watu wanaodhanla wenzao watakavyo wao nao watapita. Underline that.
 
Mleta uzi huwezi kukataa dhana ya kwamba unajadiri watu. Kama ni hivyo jaribu kuwa fair kidogo kwa kujaribu kujilinganisha wewe na hao unao wajadiri ktk vipengere vichache tu kama kiuchumi, kijamii na hata kisiasa.
vinginevyo hoja yako ya duniani tunapita haina mashiko kwa mifano uliyoitoa kwa sababu nchi hii uongozi unaukomo wa muda.
Naona imekuuma sana. Kama huna cha kujifunza hapo we endelea kushupaza shingo!
 
Ilikuwepo NCCR, ikaja CUF, ikaja CHADEMA vyote vimepita na maisha yanaendelea ata CCM kunasiku itapita hakuna kitakacho dumu chini ya jua isipokua maneno ya Muumbaji katika vitabu vyake.
 
Hakika dunia tunapita
Nikimkumbuka Polepole anayepigia Wakuu Wa Wilaya, Mikoa mpaka IGP simu usiku Leo hii ni bureee kabisa Hana lolote .

Polepole aliwahi kutamba kwamba ana koneksheni kubwa dah maisha haya.

Makonda akiwa kileleni baba Keagan aliwahi kusema yeye ndio mtu anayepata raha kuliko watu wote duniani astaghafilulaaah.

Bashiru kwa majigambo anampigia simu waziri Fulani anamwambia ilifanya hivi na vile kazi huuuna khaaa.

Kuna la kujifunza.

Maisha haya tunapita tu jameni.
Magufuli leo kalala peke yake ule msururu wa makomando umemuacha daaah.
Kuna la kujifunza
 
Back
Top Bottom