Kweli 'dawa ya babu' inaponya magojwa yote sugu

Semilong

JF-Expert Member
Mar 5, 2009
1,712
219
kweli nimeamini dawa ya babu inapona magojwa yote sugu nilikuwa siamini sasa namini
haya ni badhi ya magonjwa ambayo imeshayapona mpaka sasa:
1. kuanguka kwa kikwete sasa hivi anaonekana ametakata na anaongea kwa kishindo kabisa
2. waziri mkuu na maradhi yake ya mda mrefu v.. sasa anaonekana yuko fit kabisa
3. bilali nae azidi kung'ara
4. machungu ya dowans sasa yamepungua miongoni mwa waTZ
5. umeme kukatika katikaka ovyo sasa umepungua
6. migomo ya vyuo vikuu
7.
8..
 
What a big diversion. Nasisi tunakubali tuu. AIBU!

Unajua sisi binadamu, as much as we think we are intellectually superior to other species, deep down we are just as pumba as other organisms. Wewe angalia how we are preoccupied na mambo kama hayo, and in this century! Nauki criticize unaambiwa "wewe huna imani"...

Ni kweli watu wana matatizo, lakini jamani Kinjekitile (RIP) tried and failed...when are we going to learn?
 
Hayo ndiyo Jk anataka,akili zetu tuziamishie Loliondo,yeye afanye anachotaka,......
 
Kunywa Kikombe Kimoja Tu( KKKT) na maradhi yako yatapona. Tuifunge Ocean Road, Tuivunje TACAIDS, Trip zote za India zikome mara moja, tuanze mchakato wa kumpata mrithi wa BABU.
 
What a big diversion. Nasisi tunakubali tuu. AIBU!

Unajua sisi binadamu, as much as we think we are intellectually superior to other species, deep down we are just as pumba as other organism. Wewe angalia how we are preoccupied na mambo kama yayo, in this century! Nauki criticize unaambiwa "wewe una imani"...

Ni kweli watu wana matatizo, lakini jamani Kinjekitile (RIP) tried and failed, sadly...when are we going to learn?
Dont take yourself too seriously!! Just do the right thing today, where you are at.
 
Dont take yourself too seriously!! Just do the right thing today, where you are at.

I am doing the right thing and many things I have accomplished so far, Mkuu.
I am assuming you want a stimulating discussion, so I will go a head and respond:

May be sikuelewi una maanisha nini, but what I am saying ni kwamba, we human beings are easily manipulated. This babu na kikombe chake is such an example. Another example would be how soldiers get to be controlled by their superiors to the point where they can be ordered to shoot their own people. Also when waumini wanatoa sadaka kila siku alafu mchungaji anaendesha gari lakifahari and nobody is questioning how their sadaka collection is being spent.....

I am glad that I am guided by the principle of "logical consistency"
 
Mkuu mpaka amepata nguvu ya kutembelea wizara. Unafanya mchezo na kikombe cha babu!

Kweli kabsa mhe. Gosbertgooluck kikombe ya babu si mchezo.

Bila kikombe cha Babu Kiwete asingeweza kuzungukia Wizara zote kwa kasi hiyo BILA KUPIGA MWELEKA.
KIDUMU KIKOMBE CHA BABU,KIGUMU CHAMA CHA MAFISADI,CCM HOYEE!
Ahsanteni sana kwa kunisikilza.
 
Kwa muda mrefu sana dini/imani ndivyo ambavyo imekuwa ikitumiwa na Governments kuwafanya watu wasahau shida zao kuu. Ndiyo sababu akina Mzee wa upako na wenzie hata siku moja hutasikia wakizuiwa kufanya wafanyayo - haijalishi ni wasanii kiasi gani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom