Kweli CCM Wamevurugwa Wakavurugika, Oneni Hii!

heri ya CCM maamuzi hutolewa baada ya vikao kukaa na kuamua, ingelikuwa upande ule kwa yule sultani wa wachaga ,membe angefuzwa uanachama bila kikao wala taarifa ni kimyakimya
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hii nchi huko tuendako tutashangaa tunaiokota chini ya mnazi badala ya kuiokota chini ya mwembe , ni suala la kusubiri kidogo tu .
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hii nchi huko tuendako tutashangaa tunaiokota chini ya mnazi badala ya kuiokota chini ya mwembe , ni suala la kusubiri kidogo tu .
huko kuokota chini jiandia kuokota mawe ama chadema maana anguko la chadema li karibu
 
Lakini mkuu, mbona dalili za wajenzi wa mnara wa Babeli kutawanyika zimeanza kuonekana?
Hapana , ni wana wa israel kuelekea nchi ya ahadi, mussa alipopandisha mlimani kuongea na Mungu, wenye mioyo isio na subira na uvumilivu, na waliozoea #kazi na bata walianza kukengeuka na kulialia na kuchonga sanamu ya ndama na kuanza kuiabudu.
 
heri ya CCM maamuzi hutolewa baada ya vikao kukaa na kuamua, ingelikuwa upande ule kwa yule sultani wa wachaga ,membe angefuzwa uanachama bila kikao wala taarifa ni kimyakimya
Afadhali ya sultani kuliko dikteta
 
huko kuokota chini jiandia kuokota mawe ama chadema maana anguko la chadema li karibu
Tabiri zako zimefanana sana na za Wasirra za mwaka 2013, sio ajabu hata sura mmefanana pia
 
Chade
Ondoa uwongo wako hapa chadrama mcharuko mizee ya matukio
Hauna unacho jua unajaribu kupapasa tu
Mko gizani bavicha magoti malofaaaaaa
Endeleeni kucheza singeli ya membe mitaani
NO DIGNITY
Zero iq
Chadema ni watazamaji tu, ngoma ya membe anaicheza bashiru, ila mkumbusheni katibu asije akathubutu kumletea mizengwe bwana Membe, maana sisi wanaccm tumeamua agombee urais apeperushe bendera ya ccm.
 
#KaziNaBata..Ndo mpano

Kazi Tu [IMEFELI KABISAA,]...,[Life ni tough mno]tunafanya bila kustarehe...
Bora
#KaziNaBata....Inaweza turudisha Enzi na Mzee Ruksa au JK..
 
Kwa mara ya kwanza sakata la Membe kuwagusa kidogo tuu wameshavurugana na kuvurugika kabisa. Zile kauli kuwa ni chama chenye uzoefu sasa hazina nafasi kwani wazoefu wamewekwa pembeni sasa wapo wenye mihemko na ubabe hivyo kuwa tayari kutatua matatizo ya ndani hata kwa mtutu badala ya busara maana haipo tena.
Tumesikia jinsi hata Makamba na Msekwa wanavyo wachanganya, sasa tusubiri Mzee baba mwenyewe siku akifyatuka ndio maajabu yatakapo tokea.
CCM sio ile tena
Upinzani badala ya kujijenga kwa wapiga kura kwa kuelezea Sera na Mikakati yao ya kuiendeleza nchi, wao wanahangaika kujaribu kuibomoa CCM. Ni ujinga na ulofa wa fikra.

Wakumbuke kuwa kama CCM haikuvurugika 2015 wakati Lowassa alipokuwa na nguvu sana kisiasa, akafuata na viongozi waandamizi wa CCM km Marehemu Kigunge, wanaotajwa sasa hawana nguvu yoyote kichama. Nguvu yao iko kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari. Nina uhakika hata nafasi ya ubunge wanaweza wasichaguliwe iwapo CCM itawateua.
 
Hapana , ni wana wa israel kuelekea nchi ya ahadi, mussa alipopandisha mlimani kuongea na Mungu, wenye mioyo isio na subira na uvumilivu, na waliozoea #kazi na bata walianza kukengeuka na kulialia na kuchonga sanamu ya ndama na kuanza kuiabudu.

Mkuukwa wa tz Misri ilikuwa ukoloni, Nyrere, na waliofuata wakikuwa wakiwa waongoza wa Tz kuelekea nchi ya ahadi, Democracy na maendeleo. Lakini awamu hii mbona melekeo ni kurudi Misri tena. Uhuru wa maoni kuminywa, Polisi kufanya vitendo kama polisi wa makuburu wa Afrika ya kusini. Watu kupigwa risasi na kupotea bila ya serekali kutoa repoti yeyote ya uchunguzi. hakika muelekeo ni Misri mkuu.
 
Ukweli ni kwamba wengi wetu akili kama za pierre wa keko , konki fire,
2020
tapatalk_1543823799983.jpeg
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom