Utasubiri sana tu kama fisi akisubiri mkono udondoke
Lakini mkuu, mbona dalili za wajenzi wa mnara wa Babeli kutawanyika zimeanza kuonekana?
Utasubiri sana tu kama fisi akisubiri mkono udondoke
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hii nchi huko tuendako tutashangaa tunaiokota chini ya mnazi badala ya kuiokota chini ya mwembe , ni suala la kusubiri kidogo tu .
huko kuokota chini jiandia kuokota mawe ama chadema maana anguko la chadema li karibuUtukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hii nchi huko tuendako tutashangaa tunaiokota chini ya mnazi badala ya kuiokota chini ya mwembe , ni suala la kusubiri kidogo tu .
Hapa kazi tu, bata baada ya kazi!
Hapana , ni wana wa israel kuelekea nchi ya ahadi, mussa alipopandisha mlimani kuongea na Mungu, wenye mioyo isio na subira na uvumilivu, na waliozoea #kazi na bata walianza kukengeuka na kulialia na kuchonga sanamu ya ndama na kuanza kuiabudu.Lakini mkuu, mbona dalili za wajenzi wa mnara wa Babeli kutawanyika zimeanza kuonekana?
Afadhali ya sultani kuliko diktetaheri ya CCM maamuzi hutolewa baada ya vikao kukaa na kuamua, ingelikuwa upande ule kwa yule sultani wa wachaga ,membe angefuzwa uanachama bila kikao wala taarifa ni kimyakimya
Chadema ni watazamaji tu, ngoma ya membe anaicheza bashiru, ila mkumbusheni katibu asije akathubutu kumletea mizengwe bwana Membe, maana sisi wanaccm tumeamua agombee urais apeperushe bendera ya ccm.Ondoa uwongo wako hapa chadrama mcharuko mizee ya matukio
Hauna unacho jua unajaribu kupapasa tu
Mko gizani bavicha magoti malofaaaaaa
Endeleeni kucheza singeli ya membe mitaani
NO DIGNITY
Zero iq
Upinzani badala ya kujijenga kwa wapiga kura kwa kuelezea Sera na Mikakati yao ya kuiendeleza nchi, wao wanahangaika kujaribu kuibomoa CCM. Ni ujinga na ulofa wa fikra.
Kwa mara ya kwanza sakata la Membe kuwagusa kidogo tuu wameshavurugana na kuvurugika kabisa. Zile kauli kuwa ni chama chenye uzoefu sasa hazina nafasi kwani wazoefu wamewekwa pembeni sasa wapo wenye mihemko na ubabe hivyo kuwa tayari kutatua matatizo ya ndani hata kwa mtutu badala ya busara maana haipo tena.
Tumesikia jinsi hata Makamba na Msekwa wanavyo wachanganya, sasa tusubiri Mzee baba mwenyewe siku akifyatuka ndio maajabu yatakapo tokea.
CCM sio ile tena
Hapana , ni wana wa israel kuelekea nchi ya ahadi, mussa alipopandisha mlimani kuongea na Mungu, wenye mioyo isio na subira na uvumilivu, na waliozoea #kazi na bata walianza kukengeuka na kulialia na kuchonga sanamu ya ndama na kuanza kuiabudu.
2020Ukweli ni kwamba wengi wetu akili kama za pierre wa keko , konki fire,
CCM huruma Vs CCM wauajiCcm makinikia vs ccm masalia