MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,415
- 4,881
If
If wishes were horses the poor owners of horses would be presidents We are in turmoil for that.Ni kweli si unaona jinsi kina Mze Msekwa na Makamba wanavyojichanganya? Enzi zao hawakufanya chochote hapa nchini zaidi ya kuwaibia watanzania na kujiwekea mikakati yao wenyewe, watu kama hawa hawawezi hata siku moja kumpenda mtu kama Magufuli anayewatumbua. Hata kama akija Membe (which I hope not) awe na anakata maslahi ya vigogo wa CCM, nao LAZIMA watalia tu. Magufuli ni rais wa 10 years.