Kweli CCM Wamevurugwa Wakavurugika, Oneni Hii!

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,761
71,145

Kwa mara ya kwanza sakata la Membe kuwagusa kidogo tuu wameshavurugana na kuvurugika kabisa. Zile kauli kuwa ni chama chenye uzoefu sasa hazina nafasi kwani wazoefu wamewekwa pembeni sasa wapo wenye mihemko na ubabe hivyo kuwa tayari kutatua matatizo ya ndani hata kwa mtutu badala ya busara maana haipo tena.
Tumesikia jinsi hata Makamba na Msekwa wanavyo wachanganya, sasa tusubiri Mzee baba mwenyewe siku akifyatuka ndio maajabu yatakapo tokea.
CCM sio ile tena
 
CCM ijitenge na TANZANITE ama sivyo huyu Musiba ataiangamiza CCM.
 
CCM ijitenge na TANZANITE ama sivyo huyu Musiba ataiangamiza CCM.

Nakubaliana na wewe kuwa huyu MUSIBA ndio atakaye muangamiza JPM badala ya kumjenga!! Mbinu anayotumia kuwatukana wazee wa CCM ndio zitakazowapa nguvu hawa MEMBE 2020!! It is time you stopped him from his destructive campaign! Remember that it was these people MUSIBA is castigating who were responsible for Magufuli's ascendancy to the presidency and it is the same people who are capable of dethroning him!!
 
Ondoa uwongo wako hapa chadrama mcharuko mizee ya matukio
Hauna unacho jua unajaribu kupapasa tu
Mko gizani bavicha magoti malofaaaaaa
Endeleeni kucheza singeli ya membe mitaani
NO DIGNITY
Zero iq
 
Huenda Musiba anatumikia maadui wa ccm ili kulipa kisasi cha kuukosa hata udc tu! Wenzake kina jerry walimgusa na kumpapasa kidogo Mbowe na Lema wakaula lakini yeye haiyumkini ana gundu na ndio maana kaamua kuipasua ccm mapande mengi kuikomesha! Jitahidi musiba ipasue na uitawanye kabisa!
 
Kwa mara ya kwanza sakata la Membe kuwagusa kidogo tuu wameshavurugana na kuvurugika kabisa. Zile kauli kuwa ni chama chenye uzoefu sasa hazina nafasi kwani wazoefu wamewekwa pembeni sasa wapo wenye mihemko na ubabe hivyo kuwa tayari kutatua matatizo ya ndani hata kwa mtutu badala ya busara maana haipo tena.
Tumesikia jinsi hata Makamba na Msekwa wanavyo wachanganya, sasa tusubiri Mzee baba mwenyewe siku akifyatuka ndio maajabu yatakapo tokea.
CCM sio ile tena
Kitakacho mtokea membe ni kile kile kilichomtokea lowasa na ccm itaendelea kupeta vile vile subiri muone lowasa mwenyewe alikuwa na upepo tangu mwanzo kabla hata hajatia nia
My take ..mimi sina chama wala sina ushabiki wowote hayo ni maoni yangu tuu..
 
Ondoa uwongo wako hapa chadrama mcharuko mizee ya matukio
Hauna unacho jua unajaribu kupapasa tu
Mko gizani bavicha magoti malofaaaaaa
Endeleeni kucheza singeli ya membe mitaani
NO DIGNITY
Zero iq
Huna tofauti na Ally chemical wa Iraq wallah! Ndio hivyo tena ccm siyo ile na wenyewe wanaitaka kwa gharama yoyote! Upo mrembo? Usidhani kina Makamba na Msekwa wamezeeka akili! Wapo na wengine wanakuja kuwaumbua na hayupo mbali sana na ndio hapo utakuja kwa id nyingine humu! Na bado!
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hii nchi huko tuendako tutashangaa tunaiokota chini ya mnazi badala ya kuiokota chini ya mwembe , ni suala la kusubiri kidogo tu .
Labda mjitahidi kupata tume huru ..
Mbowe kashaongelea hilo leo huko segerea na yule wa kibamba
 
Back
Top Bottom