Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,761
- 71,145
Kwa mara ya kwanza sakata la Membe kuwagusa kidogo tuu wameshavurugana na kuvurugika kabisa. Zile kauli kuwa ni chama chenye uzoefu sasa hazina nafasi kwani wazoefu wamewekwa pembeni sasa wapo wenye mihemko na ubabe hivyo kuwa tayari kutatua matatizo ya ndani hata kwa mtutu badala ya busara maana haipo tena.
Tumesikia jinsi hata Makamba na Msekwa wanavyo wachanganya, sasa tusubiri Mzee baba mwenyewe siku akifyatuka ndio maajabu yatakapo tokea.
CCM sio ile tena