Kweli CCM ni chama cha watu wa peponi

Kiba

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
459
225
Watanzania wenzetu kama nilivyoripoti toka jana Habari za mabomu na risasi Busega kisa raia wanataka wampendae na serikali ya ccm haiwapendi.

jana kulitokea maafriko ya mabomu risasi na wananchi wengi walipigwa vizungu .

jeshi la polisi Lamadi ndg zangu mnaliacha wapi?
Polisi lamadi wote ni wapangaji je watalala wapinyie machifu mkiondoka?

Mlio wateua kwa nguvu watamuongoza nani machifu mkiondoka?
niiombe serikali kuu itoe suluhu sababu mkuu wa wilaya anaficha mambo haya.

Sisi watumishi mlio tutuma vituoni tukafukuzwa tutakaa wapi na hatuna nyumba za watumishi?

Ni jambo ambalo halijawahi kutokea nchini humu eti serikali kupigania mwenyekiti wa kijiji ili atoke ccm hii ni kutokana na uchu wa madaraka wa waziri TITUS KAMANI kusema kwenye mkutano wa hadhara mjini hapa kuwa huu ndio mji mkuu wa Busega na anahanini ccm ikikosa kijiji hiki na uwaziri wake kaukosa.

Kasasa jeshi lililoletwa linafanya mazoezi lamini kwa kelele nyingi sababu wenyewe sio wanabusega .
Raia wote walishurutishwa kulala saa moja ni vema tulilala. .
 
pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
10,907
2,000
Kwani bado kuna mtu mwenye utashi bado anakipenda hiki chama? Nyerere alikufa na chama chake ccm makini, hawa waliobaki wamekaa 'kimaslahi' zaidi!
 
gollocko

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
2,950
2,000
Watanzania wenzetu kama nilivyoripoti toka jana Habari za mabomu na risasi Busega kisa raia wanataka wampendae na serikali ya ccm haiwapendi.

jana kulitokea maafriko ya mabomu risasi na wananchi wengi walipigwa vizungu .

jeshi la polisi Lamadi ndg zangu mnaliacha wapi?
Polisi lamadi wote ni wapangaji je watalala wapinyie machifu mkiondoka?

Mlio wateua kwa nguvu watamuongoza nani machifu mkiondoka?
niiombe serikali kuu itoe suluhu sababu mkuu wa wilaya anaficha mambo haya.

Sisi watumishi mlio tutuma vituoni tukafukuzwa tutakaa wapi na hatuna nyumba za watumishi?

Ni jambo ambalo halijawahi kutokea nchini humu eti serikali kupigania mwenyekiti wa kijiji ili atoke ccm hii ni kutokana na uchu wa madaraka wa waziri TITUS KAMANI kusema kwenye mkutano wa hadhara mjini hapa kuwa huu ndio mji mkuu wa Busega na anahanini ccm ikikosa kijiji hiki na uwaziri wake kaukosa.

Kasasa jeshi lililoletwa linafanya mazoezi lamini kwa kelele nyingi sababu wenyewe sio wanabusega .
Raia wote walishurutishwa kulala saa moja ni vema tulilala. .
Sijui ni hasira ndio zimekufanya usiwe makini kwenye uandishi wako au ni haraka? Ujumbe ni mzuri ila usitegemee chui wasikilize madai ya mbuzi dhidi ya chui mwenzao. Pambaneni!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom