Kweli CCM imedhamiria kuleta Vurugu Arumeru, Soma hii ya leo jioni...

ccmwanajidanganya , labda kwa kuiba kura kwa sera zile ambazo hazitekelezeki , sijuiii labda itokee miujiza, ama waibe kura kama kawaida yao
 
Lusinde ni hasara kwa wanamtera,yaani ccm nao wamewaza wakaona wamtume njegele huyo,kweli magamba wamekata tamaa
 
katika mambo ya njama huyo binti anaweza kutengenezwa na chadema kwa ajili ya kukoleza au kuongeza chumvi kwamba CCM ni chama cha wakorofi
Mama P,hebu tulia kidogo muda huu na jiandae kutoa chakula cha usiku kwa shemeji.Hii ajira ya Nape itasababisha usitoe ushirikiano vema halafu utaachika bure mdogo wangu.Au nawe uko single kama yule kiongozi wetu wa muhimili wa pili *********?
 
unajua yule dada alipochomewa skuf yake akaambiwa ondoka,akasema siondoki nipigeni...
Jamaa wakamwambia ahaaa kumbe umetumwa eeh
Akaanza kuimbiwaa ametumwa,ametumwa,ametumwa,ametumwa...ilikuwa burudani sana...
 
Mbona tayari alishafanyiwa vurugu?Kuvuliwa scarf yake c tayari shambulio hilo,tena la aibu ukizingatia ni mwanamke
 
Mbona tayari alishafanyiwa vurugu?Kuvuliwa scarf yake c tayari shambulio hilo,tena la aibu ukizingatia ni mwanamke

ni Layman aliyetumwa so alitaka mpaka damu zimtoke ndo ajione kuwa kafanyiwa vurugu ili akimbilie polisi post.
Kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
 
kwel waache ujinga magamba yanawasha

nimarufuku kutumia jina la vunjo, na kama utaendelea kutumia jina hili hatua za kisheria zitachukuliwa, jina hili nimelisajili kisheria na lina hati miliki na cheti, hapa jamii forums. Hivyo limelipiwa 200000 kirua vunjo. Nadhani umenielewa wewe mwandamu.
 
Leo jioni Mada ya saa 12 wakati wana CDM wakiwa Ngomeni kwao Elephant Logde wakiusubiri Msafara wa Mgombea ubunge wao toka Maji ya Chai,Alipita Binti mmoja akiwa amejifunga Scuf ya CCM na kuelekea Elephant Logde bila uoga wowote kwani hapo Palikuwa na wakereketwa wa CDM tu,kilichotokea hapo huyo Bint alivuliwa hiyo scuf yake na kuulizwa anataka nini,akajibu anataka kukaa hapo Elephant Bar,Scuf yake ilichukuliwa na kuchomwa moto na huyo Bint kuombwa aondoke kwani atawasababishia wamfanyie ukatili,huwezi amini huyo Bint aligoma kuondoka,Vijana hao waligungua kuwa katumwa kuja kuchukoza wamtandike then iwe kesi Polisi na stori kwenye Kampeni kesho,aliachwa na alipoona hakuna mtu mwenye time nae akaamua kuondoka Mwenyewe.
Nawasihi CCM acheni kuwatumawatu kuchokoza wana CDM kwani mtasababisha vurugu zisizo na msingi...
Nawasilisha...

kwani akiwa na skafu ya ccm na kukaa na watu wa chadema atameza sera na mikakati ya CCM??? kama kweli walichoma skafu basi ni wapumbavu wa kutupwa, tanzania haistahili kufika kwenye hizo siasa za matundu ya chooni!!!
 
Mbona tayari alishafanyiwa vurugu?Kuvuliwa scarf yake c tayari shambulio hilo,tena la aibu ukizingatia ni mwanamke

Nadhani waliona propaganda ya "kuvuliwa hijab" ilifanya vizuri Igunga wakaona waitumie tena Arumeru! Huku ndio kuishiwa sera!
 
Leo jioni Mada ya saa 12 wakati wana CDM wakiwa Ngomeni kwao Elephant Logde wakiusubiri Msafara wa Mgombea ubunge wao toka Maji ya Chai,Alipita Binti mmoja akiwa amejifunga Scuf ya CCM na kuelekea Elephant Logde bila uoga wowote kwani hapo Palikuwa na wakereketwa wa CDM tu,kilichotokea hapo huyo Bint alivuliwa hiyo scuf yake na kuulizwa anataka nini,akajibu anataka kukaa hapo Elephant Bar,Scuf yake ilichukuliwa na kuchomwa moto na huyo Bint kuombwa aondoke kwani atawasababishia wamfanyie ukatili,huwezi amini huyo Bint aligoma kuondoka,Vijana hao waligungua kuwa katumwa kuja kuchukoza wamtandike then iwe kesi Polisi na stori kwenye Kampeni kesho,aliachwa na alipoona hakuna mtu mwenye time nae akaamua kuondoka Mwenyewe.
Nawasihi CCM acheni kuwatumawatu kuchokoza wana CDM kwani mtasababisha vurugu zisizo na msingi...
Nawasilisha...

Du! hii ni one sided story, so its a ****!
 
Leo jioni mida ya saa 12 wakati wana CDM wakiwa Ngomeni kwao Elephant Logde wakiusubiri Msafara wa Mgombea ubunge wao toka Maji ya Chai, Alipita Binti mmoja akiwa amejifunga Scurf ya CCM na kuelekea Elephant Logde bila uoga wowote kwani hapo Palikuwa na wakereketwa wa CDM tu.

Kilichotokea hapo huyo Bint alivuliwa hiyo scurf yake na kuulizwa anataka nini, akajibu anataka kukaa hapo Elephant Bar, Scurf yake ilichukuliwa na kuchomwa moto na huyo Bint kuombwa aondoke kwani atawasababishia wamfanyie ukatili. Huwezi amini huyo Bint aligoma kuondoka, Vijana hao waligundua kuwa katumwa kuja kuchukoza wamtandike then iwe kesi Polisi na stori kwenye Kampeni kesho, aliachwa na alipoona hakuna mtu mwenye time nae akaamua kuondoka Mwenyewe.

Nawasihi CCM acheni kuwatumawatu kuchokoza wana CDM kwani mtasababisha vurugu zisizo na msingi...

Nawasilisha...

Chadema si mnasema CCM ni wazee tupu? Sasa huyo bint ametokea chama gani? Angalieni mnajikanyaga wenyeweee. Wazushi wakubwa
 
ENDELEENI KUPIGA MAYOWE ILA CCM KITAPATA KURA NYINGI SANA:cool2:

Akili mgando fully!! Hakuna mangi mwenye huu mgando. Mangi wote wameshajanjaruka, we umebaki na huo mtindio wako.!! Kwa hiyo huyo binti mmemtuma ili iweje?
Upumbavu tu ndo mnawaza nyie magamba! Kwani hakuna njia nyingine ya kushinda zaidi ya hiyo mnayotaka kuapply?
 
leo jioni mida ya saa 12 wakati wana cdm wakiwa ngomeni kwao elephant logde wakiusubiri msafara wa mgombea ubunge wao toka maji ya chai, alipita binti mmoja akiwa amejifunga scurf ya ccm na kuelekea elephant logde bila uoga wowote kwani hapo palikuwa na wakereketwa wa cdm tu.

Kilichotokea hapo huyo bint alivuliwa hiyo scurf yake na kuulizwa anataka nini, akajibu anataka kukaa hapo elephant bar, scurf yake ilichukuliwa na kuchomwa moto na huyo bint kuombwa aondoke kwani atawasababishia wamfanyie ukatili. Huwezi amini huyo bint aligoma kuondoka, vijana hao waligundua kuwa katumwa kuja kuchukoza wamtandike then iwe kesi polisi na stori kwenye kampeni kesho, aliachwa na alipoona hakuna mtu mwenye time nae akaamua kuondoka mwenyewe.

Nawasihi ccm acheni kuwatumawatu kuchokoza wana cdm kwani mtasababisha vurugu zisizo na msingi...

Nawasilisha...

busara ikitawala hakuna cha ugomvi kwa chama chetu. Cha msingi ni wao kutanguliza busara na weledi katika mambo yao. Kwa mfano, huyo binti kaja hotel, ni public pale hakuna mwenye hati miliki na hotel, wote ni wateja, kumvua scurf siyo busara kwani wangemwita, wakampa japo soda moja huku akielezwa sera za chama na zilivyotofauti na ccm.

Nadhani kwa kufanya hivyo huyo dada angekuwa intelgensia ya chadema na angewapa mengi ccm wanayofikiria kuelekea uchaguzi, na kama wangempiga drasa, si ajabu angevua scurf mwenyewe na kutangaza kuwa cdm ambapo ushindi ungetangazwa.

Ubabe na vitisho havijengi
 
Back
Top Bottom