Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 350
Wana CCM na serikali yao kweli hamnazo hivi viongozi wetu hawawasikii vijana maneno wanayosema mitaani? Vijana wamechoka kudanganywa tena kwa kisingizio cha amani.
Amani gani vijana wetu wanalala nja? Vijana hawaandaliwi mazingira ya kujiajiri? Wanatunyang'anya simu hovyo hovyo, viongozi wetu wanaishi utadhani miungu watu. Vijana wetu walikuwa tayari kufanya ya Misiri, Tunisia, na Pembe ya afrika.
Lakini maandamano ya CDM yameua wazo hilo la vijana. Sasa vijana wanataka kuwadondosha CCM kwa demokrasia. Wawashukuru sana CDM, sisi vijana wa zamani hatutaki vurugu lakini binafsi natamani kuona CCM hii ikianguka na CCM YA NYERERE (CHADEMA) ikiwika kokorikoooooo!!!!!!!