Kweli CCM hawajatulia,wawashukuru sana CHADEMA

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
690
350
Wana CCM na serikali yao kweli hamnazo hivi viongozi wetu hawawasikii vijana maneno wanayosema mitaani? Vijana wamechoka kudanganywa tena kwa kisingizio cha amani.

Amani gani vijana wetu wanalala nja? Vijana hawaandaliwi mazingira ya kujiajiri? Wanatunyang'anya simu hovyo hovyo, viongozi wetu wanaishi utadhani miungu watu. Vijana wetu walikuwa tayari kufanya ya Misiri, Tunisia, na Pembe ya afrika.

Lakini maandamano ya CDM yameua wazo hilo la vijana. Sasa vijana wanataka kuwadondosha CCM kwa demokrasia. Wawashukuru sana CDM, sisi vijana wa zamani hatutaki vurugu lakini binafsi natamani kuona CCM hii ikianguka na CCM YA NYERERE (CHADEMA) ikiwika kokorikoooooo!!!!!!!
 
Uko sahihi mkuu CHADEMA mwendo mdundo na imekamilika kila idara hata jaribio la Spika kuwafunga midomo makamanda mjengoni ili wawe mazuzu kama kondoo lilishindwa vibaya na mto aliuona bunge lililopita mpaka akanyoosha maelezo kwani tunao makamanda watumishi wa Mungu.

Pia kina Natse na Msigwa ambao walikuwa wameshakemea zamaaani m,ake walioteshwa mapema na mungu juu ya mpango wa Spika
 
Akili ya makalio inakutuma uandike lolote bila kufikiria kwa sababu makalio hayana Cerebrum!
 
Magamba huwa cerebelum kwenye masabur kwa sababu sehemu kubwa ya mwili imefunikwa na magamba na kubakikiza masaburi
 
Akili ya makalio inakutuma uandike lolote bila kufikiria kwa sababu makalio hayana Cerebrum!

Acha jazba ww gamba,jenga hoja sio kutoa maneno machafu yakunuka,halafu nyie sijui mkoje watu Magamba mkishindwa hoja basi ndio utukane? Shame on u
 
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, msije mkafanana naye. Waache magamba ambao wao matusi ndio lugha yao, nasi tuendelee kuwaburuza kwa hoja mkuu.
Heshima kwako.
 
Na uzuri sahz SheKh Yahaya mtabiri wao hayupo!
Watatumia masaburi kujtabria ushindi na vijana ha2uchakachuki awamu hii.
Soon their wealth is gonna be frozen zen 2tatengua mikataba mibovu n redeem our freedom for a sustainable future!
Let's just unite!
 
<font color="#0000FF"><b><font size="4"><span style="font-family: century gothic">Heading na main content ni kaskazini na kusini</span></font></b></font>. <b>Jipange na ulete hoja yenye mashiko hapa.</b>
<br />
<br />
UCIOGOPE! acha woga
 
Mtoa hoja hachui anachokiongea. Sijui anafikiri kwa kutumia masanilo? Hatutaki Vita.jpg
 
Akili ya makalio inakutuma uandike lolote bila kufikiria kwa sababu makalio hayana Cerebrum!

Ukweli waonekana na ubaya wajitenga...nini Sera ya CCM kwa vijana?? huoni vijana ni bomu la kulipuka wakati wowote kama usipoliweka sawa kila saa na kulisafisha ili lidumu?? Wewe inaonekana ni mtoto wa fisadi na maisha yako yapo fresh..CC vijana tunalia na hali ngumu ya maisha na ni lazima kilichopo moyoni kiwe wazi kwa kila mmoja..CCM hawawajali vijana kisa Elimu ndogo..Mbona wakati wa kuomba kura ndiyo tegemeo lao la ushindi?? Wangeenda kwa ma DR na professors kuomba kura ili tujue wanawajali wasomi tuu...kaa kando treni inapita....ikijifanya wewe namna gani vipi?? linakuponda..Train ni CDM for your info...POPLES POWER..
 
Wana CCM na serikali yao kweli hamnazo hivi viongozi wetu hawawasikii vijana maneno wanayosema mitaani? Vijana wamechoka kudanganywa tena kwa kisingizio cha amani.

Amani gani vijana wetu wanalala nja? Vijana hawaandaliwi mazingira ya kujiajiri? Wanatunyang'anya simu hovyo hovyo, viongozi wetu wanaishi utadhani miungu watu. Vijana wetu walikuwa tayari kufanya ya Misiri, Tunisia, na Pembe ya afrika.

Lakini maandamano ya CDM yameua wazo hilo la vijana. Sasa vijana wanataka kuwadondosha CCM kwa demokrasia. Wawashukuru sana CDM, sisi vijana wa zamani hatutaki vurugu lakini binafsi natamani kuona CCM hii ikianguka na CCM YA NYERERE (CHADEMA) ikiwika kokorikoooooo!!!!!!!

Hakika na iwe hivyo
 
Mkuu mimi pia hapo kwenye red niliwahi kusema kuwa watu bado wanachanganya mambo, hawajagundua kuwa CCM iliondoka na JKN alipokufa tu. Baada ya hapo wajanja waliendelea kutumia jina hilohilo kujineemesha kwa kuwa watu wa kawaida walikuwa wanaipenda CCM ya Nyerere. Hivi leo ni wachache tu ndo wamegundua kuwa CCM iliyopo si ile ya Nyerere ila ni CCM ya mafisadi. Kwa wale wenye uelewa watakubaliana na wewe kuwa CCM ya Nyerere ndiyo CHADEMA ya leo na mara watu wote wakijakushutuka CCM ya mafisadi itaenda kaburini fasta.
 
Back
Top Bottom